Ofisi ya DPP

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,653
Reaction score
4,758
Mimi nadhani wanaposema HAKIMU au Jaji ndio wenye maamuzi ya mwisho, hawapo sahihi kabisa.

Napingana nao kwa kusema...DPP ndio mwenye uamuzi wa mwisho na ndiye aliyeibeba hatma ya mtu.

Na katika ofisi au kazi inayoingiza pesa nyingi yaani nje ya mshahara ni ofisi ya DPP...wale watu wanaingiza pesa nyingi mno.

Yaani sijui kwanini DPP asiwe bilionea miongoni mwa bilionea...

Maana rushwa zote zinadondokea kwake.
 
AANI SIJUI KWANINI DPP ASIWE BILIONEA MIONGONI MWA BILIONEA...

MAANA RUSHWA ZOTE ZINADONDOKEA KWAKE... Ujinga gani unauongea hapa yaani wewe unaona rusha/murungula ndio kila kitu. Ndugu yangu jifunze kutumikia watu sio kuwanyonya watu na kuwanyima haki wasio nacho. Blessed but think positive even kwa wasio nacho wakuone una hekima.
 
dpp anaweza akafuta mashitaka ila si kuzuia uhukumu ilotolewa...over.
 
DPP anaweza akafuta mashitaka ila si kuzuia uhukumu ilotolewa...over.
 
Wewe ndio dpp mwenyewe nadhani...
 

Once a stupid fool always a stupid fool.
 
A foolishman on his own backyard dancing!!?
 
Wewe ni askari police nyinyi ni mabingwa wa majungu
 
Bahati mbaya nae anateuliwa na Rais, yaani rais anateua DPP atakayemsikiliza.
 
Vipi kuhusu uteuzi wa DPP, kikatiba una nguvu kama CAG?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…