Naombeni mnijuze niko mafia hapa kwa mapumziko mafupi nimezunguka mafia yote sijaona ofisi ya Chadema
Mnampango gani wa kuwa na ofisi huku au zenu ni Mjini tu
Naombeni mnijuze niko mafia hapa kwa mapumziko mafupi nimezunguka mafia yote sijaona ofisi ya Chadema
Mnampango gani wa kuwa na ofisi huku au zenu ni Mjini tu
changes begins wth u,najua pwani CDM haina matawi sehem nyng,ila fanya mpango wa kuwasilisha hilo ngaz ya taifa ili makamanda waende wakafungue,naamini chadema inakubalika pia hko. Thank kwa kuliona hlo na kutoa taarifa,wenye busara zao tumelipokea km ni changamoto ya kufanyia kazi.
unataka ukaombeombe kwenye hizo ofisi
Angalia hapo chini nyuma ya ile hoteli upande wa kushoto...Kuna barabara inashuka karibu na huo msikiti hapo..ukikata kuna utaona Bar mahali wanakausha samaki kwa kulia kwake kuna maduka maduka mengii pembeni yake kama unaelekea baharini unakata kona kushoto utaona ofisi...!Fanya fasta..!Naombeni mnijuze niko mafia hapa kwa mapumziko mafupi nimezunguka mafia yote sijaona ofisi ya Chadema
Mnampango gani wa kuwa na ofisi huku au zenu ni Mjini tu
Naombeni mnijuze niko mafia hapa kwa mapumziko mafupi nimezunguka mafia yote sijaona ofisi ya Chadema
Mnampango gani wa kuwa na ofisi huku au zenu ni Mjini tu
'We have our head Office in Dar Es Esalaam but still we work there as well,:yield:Naombeni mnijuze niko mafia hapa kwa mapumziko mafupi nimezunguka mafia yote sijaona ofisi ya ChademaMnampango gani wa kuwa na ofisi huku au zenu ni Mjini tu
Angalia hapo chini nyuma ya ile hoteli upande wa kushoto...Kuna barabara inashuka karibu na huo msikiti hapo..ukikata kuna utaona Bar mahali wanakausha samaki kwa kulia kwake kuna maduka maduka mengii pembeni yake kama unaelekea baharini unakata kona kushoto utaona ofisi...!Fanya fasta..!