Mwanzo wa hesabu ni mojaWatu wasiojulikana wameichoma moto ofisi ya Chama cha Mapinduzi tawi la Mshonzini iliyopo wilayani Mafia mkoani Pwani na kuteketeza mali mbalimbali za chama hicho.
Akithibitisha tukio hilo, Katibu wa CCM wilayani Mafia Mohammed Dhikiri amesema tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Alhamisi Julai 13.
Dhikiri amesema moto huo umeteketeza kabisa ofisi hiyo pamoja na samani za ndani.
Amesema bado haijajulikana sababu za ofisi hiyo kuchomwa moto kwa kuwa wakati tukio linatokea hakukuwepo na viashiria vyovyote vya vurugu miongoni mwa wanachama.
Amesema bado halijafahamika ni nani aliyehusika na tukio hilo na kueleza kuwa wameliachia Jeshi la Polisi kuendelea na uchunguzi zaidi dhidi ya tukio hilo.
Chanzo: Mwananchi

Kwani shida iko wapi kwa gazeti kuwa la kwanza kurupoti habari?Again...ni gazeti la Mwananchi ndiye wa kwanza kuripoti!
Wao akili yao ipo kuwanunua madiwani wa cdmOfisi ya CCM Mafia yachomwa moto
Huu uchaguzi wa ndani ccm hautawaacha salama.
Wanajitambua na wapo kikazi zaidi siyo kama uhuruAgain...ni gazeti la Mwananchi ndiye wa kwanza kuripoti!
Mimi tayari nimeanza hilo na sitorudi nyuma .
Wanajitambua na wapo kikazi zaidi siyo kama uhuru
In God we trust
Kijana chunga mdomo wako huo,mambo mengine sio lazima u comment ili uonekane kamandaTutafika tunakotaka tufike.
Naona hii msg yako imepotea njiayaan kuna majitu yanakera! sasa kazi ya waandishi wa hbari ni nn??mbn nyie mnakuja na mabreaking news ya madiwan sie hatushobokei! na nyie mtulie iwaingie!
kuna ubaya wwte kuripoti? Hiyo ndiyo kazi ya gazeti na halipangiwi. Nanyie si mnalo?Again...ni gazeti la Mwananchi ndiye wa kwanza kuripoti!
Naona hii msg yako imepotea njia
In God we trust
Pamoja sana kiongozinilikua najazilizia kwako kuna mtu uliquote alilamikia kuhus gazet la mwananch kuwa wa 1 kureport!pamoja
Sana!!!!!!Safi sana....