Ofisi ya CCM yachomwa moto Mafia

Ofisi ya CCM yachomwa moto Mafia

Watu wasiojulikana wameichoma moto ofisi ya Chama cha Mapinduzi tawi la Mshonzini iliyopo wilayani Mafia mkoani Pwani na kuteketeza mali mbalimbali za chama hicho.

Akithibitisha tukio hilo, Katibu wa CCM wilayani Mafia Mohammed Dhikiri amesema tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Alhamisi Julai 13.

Dhikiri amesema moto huo umeteketeza kabisa ofisi hiyo pamoja na samani za ndani.

Amesema bado haijajulikana sababu za ofisi hiyo kuchomwa moto kwa kuwa wakati tukio linatokea hakukuwepo na viashiria vyovyote vya vurugu miongoni mwa wanachama.

Amesema bado halijafahamika ni nani aliyehusika na tukio hilo na kueleza kuwa wameliachia Jeshi la Polisi kuendelea na uchunguzi zaidi dhidi ya tukio hilo.

Chanzo: Mwananchi
Mwanzo wa hesabu ni moja

In God we trust
 
Mimi tayari nimeanza hilo na sitorudi nyuma .

nimejikuta nacheka kwakweli! bora wakenya wana ukabila jaman! sisi hapa uchama utatumaliza!kuna mwenyekiti wa mtaa wangu juz kaanguka na boda yake, hakupewa msaada boda boda walikua wanampita tu! kisa mwenyekit wa chama maaruf!
 
Wanajitambua na wapo kikazi zaidi siyo kama uhuru

In God we trust

yaan kuna majitu yanakera! sasa kazi ya waandishi wa hbari ni nn??mbn nyie mnakuja na mabreaking news ya madiwan sie hatushobokei! na nyie mtulie iwaingie!
 
Jamani kama kuna kitu ccm au Serikali imewakosea waombe msamaha na watubu makosa yao ili yaishe
 
Rais inabidi akubali matakwa ya wananchi tu.....si haki kuwaachia viongozi waliopita kuwa huru. Wale walituibia sana na kujinufaisha wao na familia zao wakati hawajafanya chochote cha maana.....katiba ibadilishwe wakamatwe kina Mwinyi, Mkapa, Kikwete, watiwe ndani na kutaifishwa mali walizotuibia. Akifanya hivi huu ujinga wa Kibiti/Pwani utaisha tu.....wananchi wanataka haki itendeke, si vinginevyo.
 
yaan kuna majitu yanakera! sasa kazi ya waandishi wa hbari ni nn??mbn nyie mnakuja na mabreaking news ya madiwan sie hatushobokei! na nyie mtulie iwaingie!
Naona hii msg yako imepotea njia

In God we trust
 
Back
Top Bottom