Ofisi ya Bunge kuendeshwa kidigitali

Ofisi ya Bunge kuendeshwa kidigitali

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Kuanzia leo vikao vya Bunge vitaendeshwa kidigitalii. Hii ni hatua kubwa ya kimaendeleo na kuokoa fedha nyingi zilizokuwa zinatumika kununua makaratasi. Kwa wale ambao hawajazoea matumizi ya kidigitali msione aibu kujifunza. Kitu kipya lazima mtu ujifunze.
 
Kuanzia leo vikao vya Bunge vitaendeshwa kidigitalii Hii ni hatua kubwa ya kimaendeleo na kuokoa fedha nyingi zilizokuwa zinatumika kununua makaratasi. Kwa wale ambao hawajazoea matumizi ya kidigitali msione aibu kujifunza. Kitu kipya lazima mtu ujifunze.
Itabidi kwenye desk zao wawawekee socket za kuzchaji mda wote.
 
Kuanzia leo vikao vya Bunge vitaendeshwa kidigitalii. Hii ni hatua kubwa ya kimaendeleo na kuokoa fedha nyingi zilizokuwa zinatumika kununua makaratasi. Kwa wale ambao hawajazoea matumizi ya kidigitali msione aibu kujifunza. Kitu kipya lazima mtu ujifunze.

Unemployment kwa wale wapitisha vikaratasi
 
Back
Top Bottom