Ofisi kuu ya Yanga Ipo bondeni mchikichini, Libomolewee

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,061
Makao makuu ya ofisi ya Yanga Jangwani nayo ipo eneo la Jangwani, Lipo bondeni linapaswa kubomolewaa.

Ukitazama ule uwanja mdogo wao wa mazoezi pale jangwani pia ni bondeni, ni kama mchikichini ambayo wakazi wa eneo hilo wakazi wake waliambiwa watoke.

Magufuli ondoa Ofisi hii, msumeno utafune kotekote.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA na wa CCM wote wako kwenye kitu kinaitwa "saidia Yanga Ishinde" kwenye siasa wanaparurana lakini kwenye chama lao la kijani wako pamoja. Ila huyu wa CHADEMA sijawahi kumuona katupia Jezi la wana Jangwani, sielewi kwa nini.

Ila yule jamaa yao kumdhalilisha Manara alinikera sana. Lakini sisi tunajua jamaa zetu ukitaka kuongea nao ni lazima uwe na Paracetamol mfukoni maana ni wabishi balaa. Weee useme unavunja jengo lao Kariakoo nzima itahamia pale, halafu wenyewe wana "Jihad" ya kufa mtu.
 
Hiyo ni timu ya Wananchi na pia ilishiriki kikamilifu kupigania Uhuru wa Tanganyika,kwa hiyo Kariakoo na Jangwani yote itabomolewa lakini sio Makao Makuu ya Yanga.
 
Makao makuu ya ofisi ya Yanga Jangwani nayo ipo eneo la Jangwani, Lipo bondeni linapaswa kubomolewaa.

Ukitazama ule uwanja mdogo wao wa mazoezi pale jangwani pia ni bondeni, ni kama mchikichini ambayo wakazi wa eneo hilo wakazi wake waliambiwa watoke.

Magufuli ondoa Ofisi hii, msumeno utafune kotekote.

Naunga mkono hoja kwa asilimia 100.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA na wa CCM wote wako kwenye kitu kinaitwa "saidia Yanga Ishinde" kwenye siasa wanaparurana lakini kwenye chama lao la kijani wako pamoja. Ila huyu wa CHADEMA sijawahi kumuona katupia Jezi la wana Jangwani, sielewi kwa nini.

Ila yule jamaa yao kumdhalilisha Manara alinikera sana. Lakini sisi tunajua jamaa zetu ukitaka kuongea nao ni lazima uwe na Paracetamol mfukoni maana ni wabishi balaa. Weee useme unavunja jengo lao Kariakoo nzima itahamia pale, halafu wenyewe wana "Jihad" ya kufa mtu.
Hahahahaaaa. Nimeipenda sana hiyo ya paracetamol. Hao ndo yanga bwana. Moja ya ahadi zao kama mwanayanga ni BISHA HATA KUFA ukiitete yanga.
 
Kuna jamaa yangu mmoja ni mlugulu halafu ni mshabiki wa YANGA, dah ni balaa kwa ubishi. Kuna Rafiki yangu mwingine yeye anamiliki Gazeti, aliwahi kuniambia kwamba siku wakicheza Simba na Yanga wenye magazeti huombea Simba ifungwe, kwani ikifungwa yanga hakuna bishara ya magazeti! Nilishangaa sana!!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA na wa CCM wote wako kwenye kitu kinaitwa "saidia Yanga Ishinde" kwenye siasa wanaparurana lakini kwenye chama lao la kijani wako pamoja. Ila huyu wa CHADEMA sijawahi kumuona katupia Jezi la wana Jangwani, sielewi kwa nini.

Ila yule jamaa yao kumdhalilisha Manara alinikera sana. Lakini sisi tunajua jamaa zetu ukitaka kuongea nao ni lazima uwe na Paracetamol mfukoni maana ni wabishi balaa. Weee useme unavunja jengo lao Kariakoo nzima itahamia pale, halafu wenyewe wana "Jihad" ya kufa mtu.
Mtani acha tu,mungu apishilie mbali hilo jengo lisilambishwe mchanga,dah!
 
El nino inakuja wabomoe mapema ili kuepusha madhara kwa timu yetu pendwa
 
Back
Top Bottom