Ofisi ipi kati ya hizi naweza kupata msaada?

Natafuta matibabu

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2020
Posts
262
Reaction score
301
Kati ya ofisi ya Katibu Mkuu Wizara, Katibu Mkuu Utumishi, ipi naweza kupata msaada?

Nimekuwa nikitafuta kazi kwa muda mrefu hadi sasa.

Nimejaribu kutuma maombi ya kazi sehemu mbalimbali (sekta binafsi na serikali (TAMISEMI kwa zile nafasi ambazo walishatoaga tangu kipindi cha Marehemu Magufuli) ila sijawahi kubahatika kupata nafasi.

Sasa nafikiria nipeleke vyeti na wasifu wangu moja kwa moja kwenye ofisi kama nilizozitaja na zingine mtakazonielekeza ili nikawaeleze uzito wa shida yangu na ikiwezekana waweze kunisaidia.

Naombeni mnielekeze
 
Unaweza pia kujaribu na kupeleka cv ofisi za Taesa,ipo chini ya ofisi ya waziri mkuu
 
Ndugu ajira ktk ofisi nyingi serikaini zinaratibiwa na sekretarieti ya ajira serikaini, nakushauri tembelea website yao ujisajii na uombe kazi kupitia wao watakapo tangaza kazi inayoendana na elimu yako
 
Asante mkuu
 
Niliwahi kupeleka CV na nyaraka zingine Wizarani ila sikuwahi kupata mrejesho hadi sasa
 
Back
Top Bottom