Ofisi Gani Hii Tanzania???

Ofisi Gani Hii Tanzania???

King Zenji

Senior Member
Joined
Feb 18, 2008
Posts
178
Reaction score
18
Nilipita katika moja ya miji yetu Tanzania hivi karibuni,nilikutana na ofisi hii,ni wapi hapa???,Najua kwa wengine itakua rahisi sana,kwa walio mbali na nyumbani na walikua wakisikia tu sio mbaya kujionea hali halisi sasa.
 

Attachments

  • DSC00101.JPG
    DSC00101.JPG
    610.7 KB · Views: 176
  • DSC00102.JPG
    DSC00102.JPG
    613.6 KB · Views: 172
  • DSC00103.JPG
    DSC00103.JPG
    652.1 KB · Views: 133
Ok BOT wamejitahidi kujenga, hili limetumia pesa ngapi? halina ufisadi kama lile la twin towers zinalowahangaisha akina Liyumba? Kama hakuna ufisadi, nawapa hongera BOT tawi la Zanzibar.
 
imetumika hela nyingi sana kuliko hali halisi,no doubt in bongo land cha juu kuisha bongo hii si rahisi
 
Benki Kuu Ya Tanzania Tawi La Zanzibar!
 
Back
Top Bottom