Ofisi Gani Hii Tanzania??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi Gani Hii Tanzania???

Discussion in 'Jamii Photos' started by King Zenji, Aug 13, 2009.

 1. King Zenji

  King Zenji Senior Member

  #1
  Aug 13, 2009
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nilipita katika moja ya miji yetu Tanzania hivi karibuni,nilikutana na ofisi hii,ni wapi hapa???,Najua kwa wengine itakua rahisi sana,kwa walio mbali na nyumbani na walikua wakisikia tu sio mbaya kujionea hali halisi sasa.
   

  Attached Files:

 2. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,417
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Ok BOT wamejitahidi kujenga, hili limetumia pesa ngapi? halina ufisadi kama lile la twin towers zinalowahangaisha akina Liyumba? Kama hakuna ufisadi, nawapa hongera BOT tawi la Zanzibar.
   
 3. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Da kumbe ni Zenji! Duu!!!!
   
 4. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  imetumika hela nyingi sana kuliko hali halisi,no doubt in bongo land cha juu kuisha bongo hii si rahisi
   
 5. M

  Maturo Member

  #5
  Aug 13, 2009
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jengo limetulia, lakini lazima iwepo arufu ya ufisadi.
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  ofisi za clouds fm
   
 7. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,074
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Benki Kuu Ya Tanzania Tawi La Zanzibar!
   
 8. King Zenji

  King Zenji Senior Member

  #8
  Aug 15, 2009
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  yaaap ni kweli kabisa umepatia,ofisi imetulia kinoma,hilo ishu la UFISADI na nini acha tuwaachie wenyewe wajemeni.
   
Loading...