Ofisa Habari wa CHADEMA aandaa press ya Kuivuruga ACT

Ofisa Habari wa CHADEMA aandaa press ya Kuivuruga ACT

Utavurugaje kilichojivuruga chenyewe? Walijitoa ufahamu kuanzisha hiyo taasisi, haukuwa uamuzi wa busara ila kisasi waache kulia na watu.
 
Chama kilichopatiwa USAJILI WA KUDUMU bila wanachama, katiba wala uongozi unaojulikana ki-Taifa na MSAJILI WA VYAMA (ACT).

Hakika kila mpango mfu unaofanywa na Watawala kupitia club yao ya CCM huishia kuparaganyika na kutoa matokeo hasi kila uchao...
 
Back
Top Bottom