Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 969
- 844
Yes Me nmeona na ile Logo ya HOLLY WOOD imejeuzwa ikawa BONGO LAND
😀😀 Umelionaje Bomba ??Mm ni shabiki wa kiba japo namkubali pia diamond,Ila nmependa video sababu haina madancer tuliowazoea,maana ilikua inaboa kila video lazma akina iyobo wakatike,Ila good video,neyo anaimba sana aisee... Bravo mond,,,bravo director ,bravo neyo... Imekaa poa japo audio iliboa kdgo
[emoji57] Labda uidownload unitumie...la sivyo nasubiri kuiona kwenye tv
hahahahahahaaaaa katika ubora wako[emoji57] Labda uidownload unitumie...la sivyo nasubiri kuiona kwenye tv
[HASHTAG]#Hater[/HASHTAG][emoji6]
😀😀😀 Sizitaki Mbichi hiziMeanwhile mzee wa “yoooh” hataki collabo na wasanii wadogo kama neyo.