Coping Strategy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 439
- 388
yan mpiga picha unashindwa kuweka hapa picha. upo serious na hiyo picha?Yah,inafrem kabisa ya kisasa mkuu,,nashindwa ku upload picha hapa,lakini ukini pm ntaweza kukutumia kwa whatsap.
yan mpiga picha unashindwa kuweka hapa picha. upo serious na hiyo picha?Yah,inafrem kabisa ya kisasa mkuu,,nashindwa ku upload picha hapa,lakini ukini pm ntaweza kukutumia kwa whatsap.
Of what use anyway? Ambao wanamuona ni Mungu wao wanunue, maana hakika kuna wanaomuona JPM ni Mungu mtu!Habari za week end wakuu,
Ninauza quality oficial picture ya Mh Raisi JPM,
Picha hizi ni mahsusi kwa maofisini na hata majumbani pia.
Ukubwa wa picha ni 50×60cm,
Bei ya picha moja ni Tsh 75,000/=
Ninapatikana Dar es salaam,Tanzania.
Masiliano 0713724242
Mkuu unaibandika kama tangazo la kampeni au inakua na frem na kioo?75,000/= wakati Habari na Maelezo zinauzwa kwa 15,000/=
Ni uzalendo mkuu.Kazi yake nini
Wazee Wa Photoshop..weka picha
Fremu unatumia ya Jakaya...Mkuu unaibandika kama tangazo la kampeni au inakua na frem na kioo?
Jifunze kuheshimu mamamlaka za nchi.Fremu unatumia ya Jakaya...
Usije kuwa unauza hizi hapa. Hizi ni kwa ajili ya kunbukunbu sio officialYah,inafrem kabisa ya kisasa mkuu,,nashindwa ku upload picha hapa,lakini ukini pm ntaweza kukutumia kwa whatsap.
Zipi sasa,mbona hazifunguki?Usije kuwa unauza hizi hapa. Hizi ni kwa ajili ya kunbukunbu sio official
Kwani shida ipo wapi... zinatakiwa zikae picha mbili... moja ya Baba wa Taifa, moja ya Rais aliyepo madarakani... nikishusha moja si naitoa kwenye fremu naiifadhi vizuri fremu ile ile natumia kwa nyingine... kubana matumizi...Jifunze kuheshimu mamamlaka za nchi.
Non sense.Kwani shida ipo wapi... zinatakiwa zikae picha mbili... moja ya Baba wa Taifa, moja ya Rais aliyepo madarakani... nikishusha moja si naitoa kwenye fremu naiifadhi vizuri fremu ile ile natumia kwa nyingine... kubana matumizi...
Ndiyo nishafanya hivyo sasa...Non sense.
Jaribu tenaZipi sasa,mbona hazifunguki?
Inaonekana Mh. Waziri Mkuu ujanani mwake alikuwa anatumia sana kitu cha Arusha.Usije kuwa unauza hizi hapa. Hizi ni kwa ajili ya kunbukunbu sio official
E bwana ee, hayo yaache hapa tunazungumzia biashara ya pichaInaonekana Mh. Waziri Mkuu ujanani mwake alikuwa anatumia sana kitu cha Arusha.