Ongera na pole Kwa mahusumbufu ya kesi. Najua haikiwa rahisi mpk hapo ulipofika. Maisha lazima yaendelee...Rasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu Hahahaha na furaha ya ajabu Vijana Msioe Ndoa
Atakayetaka kujumuika nami kwenye furaha yangu Karinyos Kinondoni tule Gambe
Rasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu Hahahaha na furaha ya ajabu Vijana Msioe
Atakayetaka kujumuika nami kwenye furaha yangu Karinyos Kinondoni tule Gambe
Ndio umesema
Huyu sio mwanamume kamili, soma tu mwandiko wakewe ukidivorce wanaume wote wadivorce???
Halafu hiki kitu cha kutaka watu wafanane kama pundamilia kimeshamiri kweli.Huyu sio mwanamume kamili, soma tu mwandiko wake
Neno langu sio sheriaHalafu hichi kitu cha kutaka watu wafanane kama pundamilia kimeshamiri kweli.
Ukinunua ist unataka wengine wanunue ist, ukioa unataka wengine waoe, ukiachwa na mkeo unataka wengine waachane, usipooa unataka wengine wasioe. Ujinga kweli.
Ila ni insperation speech kama wale wa biashara ya mtandao.Neno langu sio sheria
Umesema kwamba? Ndoa sio ? Wewe ndio ulikua ?lakini ndoa sio us@nge
Au unataka kutuambia ni wewe ndio ulikua