Official: Utumaji wa Radio Signals kwenda sayari ya Vesta

Hili ni jambo kubwa sana tena bahati linatokea ndani ya nchi yetu.

Naamini utatuandalia chapisho la huu utafiti wako ili tusome na kuongeza ufahamu. Nipo interested
Muda umewadia na shughuli tayari imeanza na historia naandika sasa.

Kwanza niliwahi kusema kuhusu picha ya planet Vesta kama inavyoonekana hapa

View attachment 1320912

Huo ni muonekano wa Planet Vesta kilima cha kushoto nimekipatia utambulisho wa Sajad na kilima cha kulia nimekipatia utambulisho Sergio.

View attachment 1320922

The extra rift drift hub ni moja ya eneo huko Vesta.

Hapa ni screen yangu nikiditect location pia mawimbi mvumo yaendayo Vesta, Sedna na Pulsar.

View attachment 1320941

Zifuatazo ni picha zinazotembea nikituma Signals na Cali. Kuelekea Vesta, Sedna na Pulsar.

View attachment 1320948

"Forever looking to change the world with innovation and happiness"

- Sérgi

Updates: Muda huu Jared anahakikisha coordinates zipo sahihi katika utumaji wa signals.

Jared ni kijana kutoka Colombia na Venezuela alihitimu masomo ya computer science katika vitengo vya production, video, sauti na mawimbi chuo kikuu cha Medellín, Colombia. Amewahi kufanya utafiti Mars personally.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi dunia yetu hakuna signal zimewahi kutumwa huku? Tuli respond vipi? Au ndio hao aliens(kama kweli wapo) walikuja kama signals?
Russia, US, China, Brazil, UK // ISS, JP, EUSA na NASA. Wanamefinya hii issue.
 
Zilitoka ktk sayari gani/ipi? Response yetu ilikuwaje
Zipo sayari zenye kuendana na Earth zina specific names za Ogle Tr then code ni nyingi kweli. ISS wanadai zilitoka huko na respond walifanya Japan na Canada if not mistaken maana NASA, Russia na China and Space X alike wanadeal na Moon and Red Planet.
 
Zipo sayari zenye kuendana na Earth zina specific names za Ogle Tr then code ni nyingi kweli. ISS wanadai zilitoka huko na respond walifanya Japan na Canada if not mistaken maana NASA, Russia na China and Space X alike wanadeal na Moon and Red Planet.
Mkuu ulifikia wapi
 
Swali !!!hivi hizo signal zikifika kama kuna kiumbe atazionaje au kusikia aje ikiwa vifaa hana ...?? Kwann usiende wewe signal zibaki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom