Elections 2010 OFFICIAL: Dr. Shein, Rais mpya wa Zanzibar 2010-2015

Anaomba RAIS mteule kuwa pamoja na kuwa katangazwa yeye hakuna mshindi wala mshindwa bali ni wazanzibari wote. Anaomba kusiwe na kuumizana. Anamalizia kwa kumpongeza tena na kumtakia kila lakheri katika uongozi wake. Ni kwa kifupi tu kwani sina speed ktk key board
 
Shein aula,tofauti 1%

Okay lakini katiba inasema kwamba ili mtu atangazwe kuwa rais lazima ashinde kwa zaidi ya 50% So far...................It is ana issue. Ndio maana wajumbe wanakuwa na hisia tofauti hasa juu ya uhalali wa hizo distributions. Zina harufu ya kuwa Planned event.
 
Congrats Dr. Shein...... no matter how much I detest CCM, i'd rather suppport it than see CUF in power in Zanzibar!!!
 
I am impressed by Zanzibar development. Hawa jamaa wameamua kujenga Zanzibar yao. Nimependa sana speech ya Maalim Seif.
 
Seif Katumia busara... vita yanini tena. Acha we Vice President 5 yrs. He tried.
 
Kwa tofauti ndogo kama iyo CCM watakuwa wamefanya mambo seriously.
Naona Shei ndo anaongea apa
 
Anaongea SHEINI kwa upole sana na mafikiriu atsweza ongoza vizuriu
 
Sikuona sababu ya CUF kuweka wagombea katika majimbo ya Ubungo na Tarime
 
50.1% kwa 49.1% dhahiri shairi kuwa maalim amenunuliwa kwa kauli zake alizozungumza kuwa hakuna mshindi wala mshindwa washindi wazanzibar so akatoa angalizo kwa ccm kuwa waambiwe wafuasi wake kuwa wasianze kejeli ..inaonesha wazi kuwa kulikuwa na makubaliano ya kumwachia shein kwanza then Maalim mungu akijaalia atapewa 2015-2020
 
mhhhhhhhhhh hatari seif safari hii kakubali yaishe ama kweli kinyau nyau kikia cha pweza..............................ss sijui kama maalim na huyo shein walichakachuwa pamoja.
 
Shein kawa raisi???? kweli Zanzibar mtabakia kutegemea utalii and diepoor for the rest of your lives...:doh:
 
Niliyasema haya kuwa matokeo ya mseto wao. Seif Sharrif never left CCM kwa hiyo kawaingiza mkenge Wazanzibar na huo mseto kwa faida ya viongozi ambao lengo lao kubwa ilikuwa kugawana madaraka na kuendesha nchi...
Kama CUF wangeungana na Chadema, huko Zanzibar kulikuwa na kila nafasi ya CUF kuchukua madaraka na kuundwa kwa serikali tatu lakini sasa ndo wasahau...
 
Mhhhhhh. Hapa mi naona Seif kala deal tu yaishe awe waziri kiongozi. Kwa tofauti ya kura 3500 hisingekuwa rahisi kukubali matokeo so simple. Hapa deal imefanyika.
Mbona wanakuwa wagumu kutangaza wabunge wenye tofauti ya zaidi ya kura 500

Sure, hapa lazima kuna bonge la deal limechezwa.
 
Back
Top Bottom