[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waliacha labda kama alifanya shopping vibaya mfano simu imeandikwa i13promax inauzwa 250,000tshs yeye akakimbilia akijua ni iphone 13promax hapo lazma akutane na kitu kizito.
Mchina sio mwizi ni mjanja wa kutafuta hela ila sisi wabongo ndio hatusomi descriptions ndio maana tunapigwa sana