Office ya Lowassa

Office ya Lowassa

fika mwenge then ulizia ofisis za ITV/Radio one, ukifika maeneo hayo just adjacent ndio ofisi za huyo mkuu......ukifika maeneo hayo ulizia hata watakuelekeza..
 
Panda magari yanaenda gongo la mboto, shuka mwisho wagari kisha ulizia kilipo kituo chapolisi, ukifika hapo kuna uchochoro kushoto, ukipita mbele utaona pikipiki, waambie wakupeleke Bangulo kwa Muhogo Mchungu, kushoto yake ndio ilipo office ya Lowasa fisadi wakimataifa

Dude!!! Siko hapa kwa ajili hio , nnchotaka we nisaidie nifike kwa office yake.. I don't need to know how u feel about him , coz am sure hata wewe ukipata ile position sidhani utafanya yale unayoyafikiria kwa sasa, and let me tell u , huyu jamaa hajawahi kuwa fisadi do some research and don't listen to propaganda… just give me the direction to this H.E
 
Ningekuwa nakufahamu ningekupa namba yake kabisaa, naogopa kwasababu kuna kijana wa Udsm aliwahi kuharibu.
 
zaman ilikuwa pale Haidary plaza. cjui kama imehama. but goodle friends of Lowasa website utapata......
 
fika mwenge then ulizia ofisis za ITV/Radio one, ukifika maeneo hayo just adjacent ndio ofisi za huyo mkuu......ukifika maeneo hayo ulizia hata watakuelekeza..

yap huyu kaeleza vizuri ukifika eneo husika pameandikwa ALFA LAUNDRY NDO HAPO HAPO LAKINI USIENDE BILA APPOINTMENT HUTAMWONA NA SIELEWI SAIVI BT KABLA CCM HAWAJAMZUIA KUONANA NA WATU WENYE KUHITAJI KUONANA NAE ILIKUWA INAKUCHUKUWA C CHINI YA MIEZI 2 HADI UPATE APPOINTMENT. MZEE YUKO BUSY MNO TENA ANA AKILI SANA HUYO MZEE MIE NILIWAHI KWENDA HAPO. THE MAN IS GENIOUS FRANKLY SPEAKING AN VIABLE & VERY CONSTRUCTIVE IDEAS [MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPE]- I WISH ONE DAY THE GUY MUNGU AMJALIE AFYA AWE PREZIDA WA TZ REAL TUTAENJOY COZ THE MAN IS TOUGH IN ACTION AND IDEAS.
 
Office ya lowasa inashughulika na nini?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
yap huyu kaeleza vizuri ukifika eneo husika pameandikwa ALFA LAUNDRY NDO HAPO HAPO LAKINI USIENDE BILA APPOINTMENT HUTAMWONA NA SIELEWI SAIVI BT KABLA CCM HAWAJAMZUIA KUONANA NA WATU WENYE KUHITAJI KUONANA NAE ILIKUWA INAKUCHUKUWA C CHINI YA MIEZI 2 HADI UPATE APPOINTMENT. MZEE YUKO BUSY MNO TENA ANA AKILI SANA HUYO MZEE MIE NILIWAHI KWENDA HAPO. THE MAN IS GENIOUS FRANKLY SPEAKING AN VIABLE & VERY CONSTRUCTIVE IDEAS [MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPE]- I WISH ONE DAY THE GUY MUNGU AMJALIE AFYA AWE PREZIDA WA TZ REAL TUTAENJOY COZ THE MAN IS TOUGH IN ACTION AND IDEAS.

Man this is awesome. For sure nakupa support katika hili.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wakuu naomba mtu yeyote anayejua offisi ya mheshimiwa lowasa kwa hapa dar , anisaidie nijue ipo pande zipi, au hata namba za sim za office yake… utakuwa umenisaidia sana

muulize apson aliyekuwa mkuu wa usalama ambaye kwa sasa ni msatafu ndiye yupo kwenye kamati yake ya ushindi.
 
Huyu si ndio Mbunge wa Monduli, inakuwaje sasa office zake ziwe Dar? Au ndo yaleyale.
 
Ningekuwa nakufahamu ningekupa namba yake kabisaa, naogopa kwasababu kuna kijana wa Udsm aliwahi kuharibu.

Hata ya secretary wake au ya office kama unayo , sio lazima yake saaaaana… help pls,
 
Kwani huyu mzee hayupo kwenye bunge la Katiba? Bila shaka atakuwa Dom unless km mahitaji yako c kuonana nae physically
 
Hata ya secretary wake au ya office kama unayo , sio lazima yake saaaaana… help pls,

Lowasa ni mbunge. Namba zoote na email za wabunge na mawaziri ziko kwenye website ya bunge.
uwe mtundu kidogo na wewe. ninyi ndio mnauliza vyoo Dar
 
Kamanda ningekushauri kitu kimoja cha Msingi!!!

Kama unashida nae ya kiofisi kupatikana kwake ni Monduli,huko unampata bila ya tatxo lolote,but huwezi jua yuko wapi kwa wakati u want to meet him!!

Second kama unashida binafisi,nenda kwake Masaki karibu na ubalozi wa South Africa!! Utakutana na mapolisi getini eleza shida yako,utapewa utaratibu!!
No ya simu ya Lowasa au mlinzi wake zipo,zinapatikana,but kumbuka Lowasa ni mtu mkubwa kupokea simu yako si kilahisi kama tunavyofikiria!!
 
Lowasa ni mbunge. Namba zoote na email za wabunge na mawaziri ziko kwenye website ya bunge.
uwe mtundu kidogo na wewe. ninyi ndio mnauliza vyoo Dar

zile namba zao zilizopo kwenye website ya bunge ata upige vipi hua hazipokelewi na ata ukituma ujumbe hutojibiwa so ni namba ambazo ni USELESS
 
Back
Top Bottom