Office ya CAG na uhujumu Uchumi

Office ya CAG na uhujumu Uchumi

SON OF THE LAND

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2015
Posts
204
Reaction score
210
ukiangalia logo yao inaonyesha kama ndio jicho la serikali, but unfortunately hicho ndio kitengo kibaya kutokea katika nchi hii na adui mkuu wa maendeleo ya nchi yetu
ni kivipi sasa ofisi ya CAG anahujumu uchumi yeye na vijana wake
hawa watu wamepewa jukumu la kuonyesha picha nzima ya maeneo mengi ya sector za serikali ili kujua mapungufu yaliyopo na wizi uliopo katika hizo sehemu za kiserikali

ila hii ofisi ya mkaguzi mkuu na vijana wake na ninasema mkaguzi mkuu sababu yeye ndio anaesimamia hio ofisi iko hivi hawa watu kwa Mfano wakifika katika ofisi za Halmashauri cha kwanza either wanaomba pesa kwanza kabla ya kuanza kazi au hizo Halmashauri husika wanawashikisha pesa na kuwaambia wasiweke hoja ambazo ni hatarishi

sasa effect ya huo mchezo ni nini ni kwamba wanabariki wizi na upotevu mkubwa wa pesa kutoka sehemu mbalimbali za kiserikali mfano Halmashauri yenye budget ya sh eg Bilion moja wanaweza kupoteza milioni 400 na hawa vijana wa CAG wakafunika huo wizi na kupokea Rushwa ya milioni 20 sasa fikiria kwa nchi nzima ni shilingi ngapi serikali inapoteza kupitia hawa vijana wa CAG NDIO MAANA NIKASEMA HAWA NI WAHUJUMU UCHUMI WAKUBWA.

na kwa sasa wapo katika ukaguzi wa ofisi za TARURA NCHI NZIMA huko wameisha anza na wanaendelea na hio michezo kwa kuichafua hii institution mpya kabisa

ushauri kwa Mh Rais
1) usifukuze wahusika haraka katika sector /sehemu yeyote mpaka utakapojiridhisha bila shaka kwamba kweli hio sehemu ina hati chafu maana hawa vijana wa CAG usipowapa ushirikiano wa huo uwizi wao ndio huwa wanawaandikia hizo hati chafu na hata wale wenye hati safi sio kwamba ni wasafi bali ni wale waliotio hongo au ushirikiano wa kifedha kwa hao vijana wa NAO

2) TAKUKURU Tembeeni/ wafatilieni hawa vijana kama nilivyosema kwa sasa ndio wameanza kukagua ofisi za TARURA ili kuzuia huo uhuni

3) Ofisi ya TARURA msije mkawaendekeza hawa watu wakianza na michezo yao hio itabidi muendelee na hu mchezo for the rest of your life mtakua watumwa wa hao jamaa kama wana hoja chukua kazitetee mbele huko

AMEN
 
Unajua sehemu nyingi sana mfano mnataka kwenda kuwakamata watu wa kwenye magendo ukiona polisi wanawastueni aisee kuna jamaa wana hivi na hivi basi ujue kia wameshindwa kuelewana ndo maana wanastueni mkawakamate, ofisi za serikali ndo ipo hivyo mkuu upo nchi gani mzeiyaaa?
 
ukiangalia logo yao inaonyesha kama ndio jicho la serikali, but unfortunately hicho ndio kitengo kibaya kutokea katika nchi hii na adui mkuu wa maendeleo ya nchi yetu
ni kivipi sasa ofisi ya CAG anahujumu uchumi yeye na vijana wake
hawa watu wamepewa jukumu la kuonyesha picha nzima ya maeneo mengi ya sector za serikali ili kujua mapungufu yaliyopo na wizi uliopo katika hizo sehemu za kiserikali

ila hii ofisi ya mkaguzi mkuu na vijana wake na ninasema mkaguzi mkuu sababu yeye ndio anaesimamia hio ofisi iko hivi hawa watu kwa Mfano wakifika katika ofisi za Halmashauri cha kwanza either wanaomba pesa kwanza kabla ya kuanza kazi au hizo Halmashauri husika wanawashikisha pesa na kuwaambia wasiweke hoja ambazo ni hatarishi

sasa effect ya huo mchezo ni nini ni kwamba wanabariki wizi na upotevu mkubwa wa pesa kutoka sehemu mbalimbali za kiserikali mfano Halmashauri yenye budget ya sh eg Bilion moja wanaweza kupoteza milioni 400 na hawa vijana wa CAG wakafunika huo wizi na kupokea Rushwa ya milioni 20 sasa fikiria kwa nchi nzima ni shilingi ngapi serikali inapoteza kupitia hawa vijana wa CAG NDIO MAANA NIKASEMA HAWA NI WAHUJUMU UCHUMI WAKUBWA.

na kwa sasa wapo katika ukaguzi wa ofisi za TARURA NCHI NZIMA huko wameisha anza na wanaendelea na hio michezo kwa kuichafua hii institution mpya kabisa

ushauri kwa Mh Rais
1) usifukuze wahusika haraka katika sector /sehemu yeyote mpaka utakapojiridhisha bila shaka kwamba kweli hio sehemu ina hati chafu maana hawa vijana wa CAG usipowapa ushirikiano wa huo uwizi wao ndio huwa wanawaandikia hizo hati chafu na hata wale wenye hati safi sio kwamba ni wasafi bali ni wale waliotio hongo au ushirikiano wa kifedha kwa hao vijana wa NAO

2) TAKUKURU Tembeeni/ wafatilieni hawa vijana kama nilivyosema kwa sasa ndio wameanza kukagua ofisi za TARURA ili kuzuia huo uhuni

3) Ofisi ya TARURA msije mkawaendekeza hawa watu wakianza na michezo yao hio itabidi muendelee na hu mchezo for the rest of your life mtakua watumwa wa hao jamaa kama wana hoja chukua kazitetee mbele huko

AMEN
Niseme tu huu Ni mwendelezo wa jitihada za kuidhoofisha Ofisi ya CAG. Mlianza kwa kukata almost 50-70% ya budget ya hii Ofisi, why? Sababu mnazijua vizuri ninyi wenyewe. Mmejitahidi Mara nyingi kumpinga ama kuzipinga Reports za CAG bila mafanikio, integrity yao imesimama. Mmetunga sheria ya Madini ila CAG mmekataa asikague, why? Sababu mnazijua wenyewe. Kama Hawa Vijana wa hio Ofisi wanapokea rushwa, hayo Ni matokeo ya kukata budget yao kila mwaka. Juhudi zenu za kuidhoofisha hiyo Ofisi hayo ndio matokeo. Ninachojua, kama CAG anakula rushwa sehemu ambazo TAKUKURU, TISS wapo, hiyo Ni Kejeli kwa vombo vyetu vya Dola na Serikali yake. CAG ndilo jicho la Fedha za Watanzania, ndio maana wametuonesha kuwa Kuna jambazi limeondoka na 1.5 Trillion!
 
Majungu matupu. Mkurungenzi wa halmashauri alazimishwe kutoa rushwa ili hali anajua zilipo ofisi za TAKUKURU!!? Nimekuja kwenye uzi huu nikidhani kuna ushahidi kumbe porojo tu.
 
Hii. Nini?
 
Tuhuma za rushwa ofisi ya CAG sio za kwanza hivyo inawezekana taarifa hizo zikawa za sahihi nau sio sahihi lakini watu wengi hawajui nini maana ya hati chafu au safi unaweza kuwa na hasara hata ya mabilioni ya pesa maadamu taratibu za kihasibu zimefatwa huwezi kupata hati chafu, hati chafu inatolewa pale ambapo taratibu za kiuhasibu hazikufuatwa
 
Niseme tu huu Ni mwendelezo wa jitihada za kuidhoofisha Ofisi ya CAG. Mlianza kwa kukata almost 50-70% ya budget ya hii Ofisi, why? Sababu mnazijua vizuri ninyi wenyewe. Mmejitahidi Mara nyingi kumpinga ama kuzipinga Reports za CAG bila mafanikio, integrity yao imesimama. Mmetunga sheria ya Madini ila CAG mmekataa asikague, why? Sababu mnazijua wenyewe. Kama Hawa Vijana wa hio Ofisi wanapokea rushwa, hayo Ni matokeo ya kukata budget yao kila mwaka. Juhudi zenu za kuidhoofisha hiyo Ofisi hayo ndio matokeo. Ninachojua, kama CAG anakula rushwa sehemu ambazo TAKUKURU, TISS wapo, hiyo Ni Kejeli kwa vombo vyetu vya Dola na Serikali yake. CAG ndilo jicho la Fedha za Watanzania, ndio maana wametuonesha kuwa Kuna jambazi limeondoka na 1.5 Trillion!

mimi sio mwana siasa tunachotaka ni kitengo kinachosaidia serikali kudhibiti wizi na kama issue hapa ni ukaguzi na kama unaona tunazuia CAG asikague kwa nini sasa serikali kwa hio budget ya CAG ambayo ni ndogo tusitumie kuwatumia wakaguzi wa nje hawa Big 4 kila deloitte PWC ili ukaguzi uwe wa uwazi zaidi na watu wenye professional zao maana hao vijana wa CAG hata hawajui nini maana ya ukaguzi kwao wanachukulia kama mahakama na wao ndio mahakimu wa kuamua na kucharge sh ngapi unatakiwa ulipe
futa CAG au rekebisha hio office yenu
 
Majungu matupu. Mkurungenzi wa halmashauri alazimishwe kutoa rushwa ili hali anajua zilipo ofisi za TAKUKURU!!? Nimekuja kwenye uzi huu nikidhani kuna ushahidi kumbe porojo tu.

Hulazimishi hebu soma vizuri unatungikiwa matatizo yako halafu unapewa room ya kufuta kwa hongo ili uonekane uko vizuri sasa issue hapo ni CAG kuwa jicho la taifa ili miradi na matumizi mabovu yajulikane na kushugulikiwa sio kufunika kombe then next year the same thing is gonna happen again and again hapa hatujengi taifa tunauwa hata magufuri asilale usiku kwa ajili ya kutupeleka kwenye uchumi wa kati atakua anaota maana hizo hela zitatumika kwenye miradi hewa then CAG atamwambia kila kitu kipo poa
 
Ikiwa jiwe walimkagua akawatisha unataka wafanye nini?
 
mimi sio mwana siasa tunachotaka ni kitengo kinachosaidia serikali kudhibiti wizi na kama issue hapa ni ukaguzi na kama unaona tunazuia CAG asikague kwa nini sasa serikali kwa hio budget ya CAG ambayo ni ndogo tusitumie kuwatumia wakaguzi wa nje hawa Big 4 kila deloitte PWC ili ukaguzi uwe wa uwazi zaidi na watu wenye professional zao maana hao vijana wa CAG hata hawajui nini maana ya ukaguzi kwao wanachukulia kama mahakama na wao ndio mahakimu wa kuamua na kucharge sh ngapi unatakiwa ulipe
futa CAG au rekebisha hio office yenu

Mkuu wewe ni mhasibu au mtu wa manunuzi?
Naona kuna mambo unaongea lakini una ugeni nayo.
 
Mkuu sio rahisi kihivyo hao jamaa wanafanya kazi nzuri toka Mzee Utoh na huyu prof wapo vizuri msiwachafue wanapiga kazi nzuri..
 
mimi sina tatizo hio office shida na dhumuni langu ni kwamba mkuu wao aone naTAKUKURU waone ili waanze kuwaonya na kuwakumbusha majukumu yao katika Taifa kwamba wao ndio hope na msaada kwa Raisi waache kuchukua vijihela kama wameona makosa ya upigaji wasaidie serikali pesa zitakazokua zimepigwa zirudishwe badala ya kukaa kiti kimoja na wahusika na ku negotiate mtatupa sh ngapi tupute hii hoja halafu wanaandika hoja nyepesi ambazo hazina mashiko basi gemu limeisha
 
Hujaelewa kuhusu ushiriki wa BIG 4 kwenye ukaguzi wa CAG.
Sehemu ya kwanza ya swali langu bado hujajibu ndugu

maana yangu hapo office ya CAG wakasimama ukaguzi wa nchi nzima hio pesa tukalipa hao Big4 atleast kwa mwaka moja uone nini watakuja nacho then ndio mnarudisha CAG wakiwa wamepigwa msasa na ninajua hapo kuna maswala ya sheria yatahitajikubadilishwa
 
Umesomea mambo ya uhasibu/ukaguzi wa hesabu au uko kwenye kitengo cha manunuzi??
 
Back
Top Bottom