Office Romance:Je ni ruksa?

So long as chochote unachofanya in your own time na hakina effect kwa wenzako au kazi unayofanya basi hakuna tatizo.., Issue inapokuja unapoleta personal issues kwenye kazi za watu, au peformance yako au ya wenzako kuathirika..
 
Ukitaka kujua utamu wa penzi la ofisini lihusishe Top boss na small fish
Kama movie vile
 
Na swala la ufanisi kazini, unalizungumziaje? Btw, i like ur ideas!

Ufanisi unaweza usiwe wa kuridhisha na hata mahusiano na wafanyakazi wengine especially when one is a boss.
Nitakupa mfano halisi mmoja.
Kuna rafiki yangu alikuwa na uhusiano na boss, so boss was over conscious kiasi kwamba akawa anampinga mpenziwe hata anapoongea point, ili watu wasione au kutafsiri kuwa anapendelewa. Wakiwa wenyewe ana apologize na kueleza why he had to do what he did. Hii ni rare case but case nyingi ni zile za kweli boss kumpendelea mpenzi wake.

The other area watu wanashindwa kuwa karibu na kutaniana na either of you.
 
Kweli ndugu yangu? Is there any way through which it may not affect your offcial responsibilities? Huo muda wa romance si ndio huo huo wa kufanyia kazi au wa ziada mtaupata wapi? Kupendana sehemu za kazi siyo issue ila romance mkafanyie kwenu siyo ofisini.

nadhani haina shida provided that it does not affect your official responsibilities!
 
So long as chochote unachofanya in your own time na hakina effect kwa wenzako au kazi unayofanya basi hakuna tatizo.., Issue inapokuja unapoleta personal issues kwenye kazi za watu, au peformance yako au ya wenzako kuathirika..
sun wu, nakubaliana na hayo ila kuna uwezekano wewe ukawa kwenye uhusiano na mtu, then mkiwa ofisini mnafanya kazi kama vile nothing is going on? Mambo ya wivi si yatakuja? Kuna uhuru kweli katika hali hii? Huwa wafanyakazi wanakuwa na mda wa ku-socialize, watu wanamna hii watayafanya hayo? Baya zaidi, itokee kuwa bosi anataka kuwa katikati.... mmhh!
 
Last edited by a moderator:
Kupenda ni kupenda tu haijalishi
 
Ukitaka kujua utamu wa penzi la ofisini lihusishe Top boss na small fish
Kama movie vile

Na mara nyingi hawa wapenzi wanakuwa wake/waume za watu. Kweli nashindwa kuelewa, it's so disturbing.
 

Kwahio tatizo sio ule uhusiano bali ni matokeo ya uhusiano (can you handle it) pia effect ya uhusiano huo (Je una athari katika kazi yako/yenu) In short hapa cha kutibu ni symptoms na sio cause, sababu kuna ambao wanawapenzi ofisini na matokeo yake ni positive na sio negative, (cha muhimu ni kuwa wawazi.., na wengine wataheshimu uhusiano wenu)
 
Hakuna tatizo ila ni ngumu kwani penzi ni kikohozi
 
Je kama mko ofisi moja na mnafanya kazi za usiku inakuwaje mkiwa hapo ofisini wawili?
 
Ofcoz madhara yapo mengi tuu hasa mnapokua mpo katika rank tofauti, mfano Supervisor na Agent wake, au mapenzi kati ya Boss na subordinate...Lazima kutakua na Conflict of interest, Sometimes unatakiwa kumwajibisha mwenza sema unapata ugumu because mu wapenzi, au Mwenza anatakiwa kutimiza wajibu fulani lakini anazembea kwa sababu anajua hata asipofanya kwa wakati boss wa kazini ndo boss wa Moyoni,,, all in all kuwa wapenzi sehem ya kazi its real bad, Japo inanoga baby wako unamuona kila wakati...
 

Kuna kitu hujakisema. Uhusiano na boss una madhara makubwa kazini hasa upande wa mapenzi yasiyokuwa ndoa. Bibie ukichelewa kazini boss hasemi kitu. Usipokuja kabisa atapiga simu labda utamwambia hujisikii vizuri, ataishia tu..,darling(kwa sauti nyororo ya kimapenzi) si ungeniambia? Kwani kuna tatizo gani ukisema hutakuja kazini? Anyway pole sana dear nitakuona baadaye. Akiomba ruhusa kazini aende sehemu anakubaliwa bila kipingamizi. Siku nyingine hata anaulizwa kama anataka kutoka! Matokeo? Hata wafanyakazi wengine hasa wa kike watatumia loop hole kuchezea kazi kwa kuchelewa kutokatoka, kutofika kuchezea mali za ofisi,nk yote kwa kuwa boss kaishalainika. Watamuita tu shem analowa kwa hisia za mapenzi. UFANISI OFISINI NDIO KWA HERI!! Kama ni sehemu ya biashara hasara itaanza kuingia,nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…