office administaror anatakiwa

office administaror anatakiwa

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
1,663
Reaction score
424
anatakiwa office administrator,mshahara sh 400,000 take home kwa mwezi.kama interested tuma email:m66_60m@yahoo.co.uk
 
office ipo dar,inajishughulisha na engineering services
 
Qualifications wanazohitaji?
Design km tangazo lako halijakamilika mkuu.
Sorry!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Huyu jamaa anawazingua tu, ofisi haina jina, physical address, email yenyewe imekaa kijanja janja tu. Anasema inadeal na engineering halafu ipo DSM, sasa mjiulize hapo DSM kuna ofisi ngapi zinahusika na engineering.
 
Jamaa hajajipanga na inaonekana hayuko wazi kabisa! Fikiria sasa hiyo ofisi yenyewe itakuwaje kama mwajiri mwenyewe yuko hivyo!!!
 
Anataka kujifunza jinsi ya kuandika cv kupitia maombi yenu
 
Huyu jamaa anawazingua tu, ofisi haina jina, physical address, email yenyewe imekaa kijanja janja tu. Anasema inadeal na engineering halafu ipo DSM, sasa mjiulize hapo DSM kuna ofisi ngapi zinahusika na engineering.

Ukimchunguza sana kuku katu hutomla kwani yeye ili aweze nenepa hula hata nyoka. Wale wanaotaka kazi mtumieni e-mail huyo jamaa.
 
hahahahaha....kweli anazingua jamaa..... afu hata information yyte hatoi...
 
Kipindi hiki kuna utapeli mkubwa wa kazi. kaeni chonjo huyu sio mwajiri ila tapeli tu. Huwezi tangaza ajira isiyo na kichwa wala miguu. usichezee jamii forum mkuu.
 
Back
Top Bottom