Office 2013

Unahitaji Msaada kwenye activation? Tafuta KMS activator katika torrent sites.
 
  • Unaweza toa ufafanuzi kidogo iili upate usaidizi, Na iwe msaada kwa wanaJF wengine
  • Thanks

Wakati nnai - download anti virus yangu ika detect kirusi na ikaanza kuni alert na ikaniuliza tuitengeneze au tuiwache? nikajibu itengenezwe, ikaifuta kabisa. Kujaribu tena hivyo hivyo.

Ingekuwa clean, anti virus isinge ni alert.
 
Wakato nnai - download anti virus yangu ika detect kirusi na ikaanza kuni alert na ikaniuliza tuitengeneze au tuiwache? nikajibu itengenezwe, ikaifuta kabisa. Kujaribu tena hivyo hivyo.

Ingekuwa clean, anti virus isinge ni alert.
Pole kwa usumbufu uliojitokeza. Naomba ufuatishe haya maelekezo
  • Hivyo hatua ya kwanza ni ku_disable antivirus maana andivirus zote huwa ziblock hizi tools: Mfano keygen. Activator ambazo tunatumia
  • KARIBU
 
Vipi kuhusu update yake,naweza kuiacha ifanye automatic updates?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…