Office 2010 pro

Office 2010 pro

Buyaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
1,781
Reaction score
2,079
Download U-Torrent kutoka hapa, utakayoi install na kuitumia ku download Office 2010 Professional ISO file kutoka hapa, ambalo ukishamaliza ku download utalifungua kwa kutumia winrar utakayoipata hapa.

Haihitaji cha serial key wala cha activation toolkit, ila inashauriwa wakati una install uwe umezima internet connection mpaka umalize, na uzime taa na ufunge mapazia!
 
Nadhani hapo unatania au uko serious?
 
kinaweza kuwa kitu kingine hiki umenitisha hii kazi kufanyikia gizani tena kwanini mkuu tolea ufafanuzi
 
naona unajaribu kuweka uwiano kati ya tekinolojia na kalumanzira..aisee!
 
Back
Top Bottom