Offer ya Iddi kutoka kwa mrembo anayevutia.

Offer ya Iddi kutoka kwa mrembo anayevutia.

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
931
Reaction score
2,066
Wakuu yani nimeshajiandaa natinga Bongo kutoka mamtoni tarehe 19.

Yani mfungo unaisha tu unakaribishwa na mambo mema na matamu ya duniani.

Mrembo Janepher Sanga katoa offer ya Iddi Shilingi elfu 50 tu. Je mwanaume utakubali offer hii ikupite kirahisi na Kizembe hivi hivi.

Msikie mwenyewe hapo chini.

adriz de mbusii
 
View attachment 3553738

adriz de mbusii
Naona amekalia kiti KIMKAKATI.
 
Hivi wewe unakaa mamtoni ipi?
Maana humu wewe muda wote unawaza ngono, wazee unawachambisha saa nagpi? 😹
Hahahahahaaaaa besti umenifanya nilipuke na kicheko kikubwa cha aina yake 🤣😂😅
 
Back
Top Bottom