Bei ni kubwa sana ulimwengu wa sasa wa kidigitale kuniuzia flash kwa 55k hapana,unataka kutuurudisha miaka ya 2003 chuoni unasave kazi kwenye diskette ya 1.44MB then zikaja flash za 64MB unaivaa shingoni kulingishia watu,uliza bei yake sasa,ilikuwa zinauzwa elfu 80,wenye hela ndio walikuwa wana flash za 128MB ambazo zilikuwa zinauzwa laki 125k,siku hizi 8GB sh elfu 5,wewe unakuja na mibei ya ajabu ajabu,kwahyo 120gb mie nakupa sh elfu 15 tu.
mibei ya ajabu???? for a 120Gb flash disk unasema kwa 55k ni bei ya ajabu!! wwe kwa hyo 15k yako hata hiyo flash ya 8gb hupati
30k ni pm kama inalipa
Hahaha mjini hauna muda mrefu enh??? 8gb zinauzwa 8500 sehemu kibao.
so na we una suggest that bei ya 120gb ni 15k???
At least 25k- 30k bei reasonable