proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,481
- 1,356
Tunatengeneza applications za simu kwa bei rahisi sana ni kuanzia elfu 70 kwa anayehitaji.Unapokua na biashara ni vizuri kuwa na website pamoja na appkivation itakayokuwezesha kupata watembeleaji wengi zaidi kwa kuwa wateja wengi kwa sasa ni watumiaji wa simu so kama biashara yako utaweza kuitengenezea application hii itakurahisishia kupata wateja wengi zaidi.Pia application ni moja ya njia inayoweza kukuongezea kipato kama itawekewa matangazo ndio maana ukiingia google play store na kupakua application flani unaona matangazo yako ndani ya application hiyo.Kama wewe ni mmoja wapo unahitaji application ya website,blog nk njoo DM
Unaweza cheki hii https://play.google.com/store/apps/details?id=com.efatha.songea.ruvuma.tz
Unaweza cheki hii https://play.google.com/store/apps/details?id=com.efatha.songea.ruvuma.tz