lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,710
- 2,387
Kwa karne hii, ili kukimbizana na Teknolojia, Hakuna asiyefahamu umuhimu wa kutangaza biashara au shughuli zake ili kufikia mamia kwa urahisi wa kuchanganua shughuli hizo kupitia matangazo ya Audio(jingles) au Motion graphics kwaajili ya Tv na mitandao ya Kijamii.
Ndio maana BRANDS MEDIA TZ, tumeamua kuomba tenda za kukufanyia shughuli hizi kuanzia mtu mmoja mmoja mpaka makampuni. Kazi zetu ni quality na kwa uaminifu.
Kwa maelezo zaidi na bei zetu za punguzo angalia kipeperushi (flyer). Karibuni sana.