VALENCE MUGANDA
Member
- Dec 1, 2012
- 53
- 2
Kwa sababu zilizo nje ya Uwezo wetu PD proxy,TroidVPN na DroidVPN hazipatikani tena hivo kama ulikuwa na acc ya Pd proxy i-pause na kama haujui jinsi ya kupause ntakupa msaada:
Pia wale wa DroidVPN unaweza ku-pause subscrption yako
Wale wa ToidVPN basi anza kutumia Unlimited internet yako kwa kutumia PC
yap hata kwa window 8 inafanya kazi.
hii kitu inasumbua sana upo net unashangaa imezima
unachokiongea unakijua au matatizo yako ndo unakuja ku-express hapa
Kama umeuziwa bomu sema tukusaidi na sema waapi unapata shida upate msaada
Kama umeuziwa mangula usifikiri utakula kama waliouziwa original
huduma hii mbona nilipewa maelezo kua ni kwa wale wanaotumia huduma za **** pekee.
je sisi tunao tumia huduma za **** mnatusaidiaje..
majibu tafathali..
shukran..