muuza magari
Senior Member
- Jan 17, 2017
- 114
- 190
Na folen hazitapungua kuchelewa kazin kupo pale paleSafi sana mkuu!
Kwa mwendo huu daladala zitakosa abiria!
Xtrail 2000ccfuel cc ngapi?
hahahahhahahaha ila bora ukae foleni kwenye gari lako kuliko kukaa folen kwenye daladala huku mkiwa mmebanana errynest s LukindoNa folen hazitapungua kuchelewa kazin kupo pale pale
hahahahaha kabisa mkuu KazitunayoNgoja niendeleze kibubu changu tu si kwa kero izi za daladala jamani
Year 2001CC NGAPI?
Ndo mana napenda pikipk penya penya kila kona nafika kirahishahahahhahahaha ila bora ukae foleni kwenye gari lako kuliko kukaa folen kwenye daladala huku mkiwa mmebanana errynest s Lukindo