Ofa ya Pasaka kwa wakulima

MVAA KOMBATI

Member
Sep 18, 2016
39
38
OFA YA PASAKA KWA WAKULIMA.

TUNATOA OFA MAALUMU KWA WAKULIMA AMBAO WANAHITAJI KUCHIMBIWA KISIMA CHA KARAVATI KWA BEI YA OFA.

KILA MKULIMA ANAEHITAJI KISIMA HIKI HAKIKISHA UPITWI NA OFA HII ILI KUONDOA TATIZO LA KULIMA KIZAMANI KWA KILIMO KISICHO NA UHAKIKA KWA KUTEGEMEA MVUA.

OFA HII NI KWA MDA HUU WA PASAKA TU.

KWA KUFAHAMU OFA HIYO,PIGA AU SMS KWA NAMBA ZIFUATAZO.

0784999995.

0654768400.
 
Si ungewapigia wakulima moja kwa moja ili waibiwe huko huko......hapa weka taarifa kamili bei na urefu wa kina pamoja na asili ya udongo upi kwa hiyo gharama/maeneo gani kwa gharama IPI?????????…

Ifike mahala watanzania tuwe wafanyabiashara na sio wababaishaji!!!!!!!.....ni maoni tu
 
1. Hii inaboa sana!!!!!
2. Kuna jamaa kibao wamejitangaza humu JF kama wachimba visima, ila hats namba zao hazipatikani, wanaopatikana wana Huduma kwa wateja mbovu ile mbaya.
3.Sijui ni lini entrepreneurial spirit itakomaa
 
Na wanatangaza utadhani wapo mtaa was Msimbazi/Congo,.... na Wateja wao wapo Madale, ...
Stadium za mawasiliano no ngumu sana ndio maana biashara nyingi zinakufa.
 
Back
Top Bottom