Ofa ya internet

Ofa ya internet

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,635
habari zenu waungwana,mwenye kuhitaji internet ipo kwenye ofisi yangu,gharama yangu kwa mwenye kuhitaji ni shilingi mia sita kwa saa,ofisi ipo ilala au kwa mawasiliano unaweza kunicheki kwa namba hizi 0718 30 21 32
 
Mia 6 kwa saa unamaanisha mtu anatumia atakavyo au inakuwaje...?.

Kutokea mtandao gani na nani na nabi wanaweza ku-access hiyo service...?.

Wa mikoa inakuaje ni mpaka mtu aje ofisini kwako au niaje...?.

Jibu hayo kwanza.
 
Mia sita kwa saa ????? Tigo huwa wana ofa yao ya lisaa shilingi 100 kwa MB 200 ina mana kwa 600 utatoa 1200MB. Mkuu hizi MB ulizokopa za tigo zinafanya usiwaze kazi hebu rudini kazini. Mods tunaomba thread ziwe zinalipiwa kuwakwamisha wajaza server kama hawa.
 
Mkuu hebu nielekeze hiyo ya tigo kiongozi it means 500 napata 1GB.

Naomba maelekezo jinsi ya kujiunga kiongozi.

Thanks In Advance.
 
Mkuu kwenye ofa maalum kuna option ya kifurushi cha lisaa. Kwa shilingi mia unapata MB 200 au unapata Dakika ishirini tigo to tigo. Option ni yako.

MB 200 ni ndani ya lisaa limoja sasa inategemea na speed ila mimi kama weekend nikiweka 500 nakuwa najiunga kabla lisaa halijaisha ili hiyo chenji isiliwe. Sasa huyu jamaa sijamuelewa kabisa halafu kawa kimya sijui kaitwa na boss wake juu ya haya anayopost humu.
 
Hahahaa, itakuwa kaitwa na boss nafkiri naona kapotea ghafla tu mkuu.

Hiki kifurushi cha lisaa kinakuwa na muda maalum au muda wowote tu waweza kujiunga mkuu.

Thanks a lot kiongozi.
 
Back
Top Bottom