mshihiri Senior Member Joined Jul 15, 2011 Posts 138 Reaction score 89 Dec 24, 2011 #1 WADAU ILE OFA YA USIKU YA NETI MB2OO YA AIRTEL IMEKWISHA AU VP? MANAKE LEO NAONA LINE YANGU MB ZINALIWA TU:shock::A S embarassed:
WADAU ILE OFA YA USIKU YA NETI MB2OO YA AIRTEL IMEKWISHA AU VP? MANAKE LEO NAONA LINE YANGU MB ZINALIWA TU:shock::A S embarassed:
IrDA JF-Expert Member Joined Aug 26, 2010 Posts 745 Reaction score 361 Dec 24, 2011 #2 Me naona Airtel washagundua kwasababu jana wamenitumia message wakasema kwamba ofa ya internet bure usiku itasitishwa kuanzia tarehe 24 mwezi huu kwa ajili ya ofa zaidi,lakini watakuwa wameshaisitisha kabla
Me naona Airtel washagundua kwasababu jana wamenitumia message wakasema kwamba ofa ya internet bure usiku itasitishwa kuanzia tarehe 24 mwezi huu kwa ajili ya ofa zaidi,lakini watakuwa wameshaisitisha kabla
mfereji maringo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 1,043 Reaction score 263 Dec 24, 2011 #3 tutawahama
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Dec 24, 2011 #4 ME walisha ni2mia msg wakitaarifu kwamba kuanzia terehe 24/12/2011 hakutakuwa na offer hiyo na watatoa offer nyingine so stay tuned.
ME walisha ni2mia msg wakitaarifu kwamba kuanzia terehe 24/12/2011 hakutakuwa na offer hiyo na watatoa offer nyingine so stay tuned.
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Dec 24, 2011 #5 Airtel wamenitumia msg kunitaarifu kuwa kuanzia tarehe 24/12/2011 OFA ya internet ya usiku itasitishwa ili kutoa nafasi kwa OFA mpya na kabambe zaidi
Airtel wamenitumia msg kunitaarifu kuwa kuanzia tarehe 24/12/2011 OFA ya internet ya usiku itasitishwa ili kutoa nafasi kwa OFA mpya na kabambe zaidi
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,134 Reaction score 664 Dec 24, 2011 #6 Mi mwenyewe nimepata sms kama hyo!