Ofa ya 10mil kwa kiwanja

Ofa ya 10mil kwa kiwanja

Njoo Zinga bagamoyo Km 8 kutokea tegeta kwa ndevu dakika 30 kutoka zinga hadi kwa ndevu kwa daladala pia dakika 20 kwa gari binafsi. Kiwanja square meters 1200 kwa Tsh 7M tuuu kipo barabarani (ya mtaa) na kipo umbali wa dk kumi kwa kutembea kwa miguu kutoka barabara kuu.
Mkuu kutoka Tegeta mpaka zinga haiwezi kuwa hizi Km 8, ni km 31 mwendo wa 50min kwa gari.

Screenshot_20190620-101310.jpeg
 
ama kweli mambo yamebadilika ! sasa ukiwa na hela na fedha ndio unawaita wauzaji ! Miaka mitano nyuma hapo lazima upitie kwa dalali na upigwe!Ardhi imepanda thamani na imeshuka bei! 😀
Na wauzaji wanajisalimisha mara moja😁..... Unachagua mwenyewe..... Mambo yamebadilika sana sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom