Ofa ofa heavy duty desktop inauzwa laki 3.2(320,000/=)

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
857
394
laki 3.2 (320,000/=) 0769502020

heavy duty hp xw4600 workstation
made in japan
hdd 250gb
ram 2gb
monitor flat inchi 19
keyboard
mouse
duo core 2 intel
cpu speed 3.0ghz
windows 7
office 2007
video editing software:adobe premiere na after effects cc 7
firewire port ziko 3 kwa ajili ya kucapture video toka kwenye video camera
usb ports 8
cd/dvd multi player
 
Huko wapi mkuu tufanye biashara. Na pia unaposema heavy duty una maana gani?
 
hiyo sio heavy duty... mashine ndogo sana hiyo hata video editing haipeleki... mi najua ntakutana na i7 humu ndani nirukie fasta, yani dual core 2... ram 2gb hdd 250gb hahaha. acha utani.. kwa hiyo bei mtu akinipa namuuzia laptop yenue specs mara tatu ya hiyo
 
Nipo DAR ES SALAAM, ninaposema heavy duty namaanisha unaweza itumia kwa shughuli kubwa kama video editing,Sound editing,graphics au small SERVER Machine ukiiona mwenye utaelewa nini namaanisha.Bahati mbaya simu yangu camera inasumbua.
 
Muuzie unaweza pata wapi mashine kama hii kwa bei hiyo au unaongea kishabiki,nisingependa kujibishana Core i7 desktop unajua bei yake?
 
hiyo sio heavy duty... mashine ndogo sana hiyo hata video editing haipeleki... mi najua ntakutana na i7 humu ndani nirukie fasta, yani dual core 2... ram 2gb hdd 250gb hahaha. acha utani.. kwa hiyo bei mtu akinipa namuuzia laptop yenue specs mara tatu ya hiyo

Nahiyo laptop yenye specs hizo itakuwa mchina 100%
 
Nipo DAR ES SALAAM, ninaposema heavy duty namaanisha unaweza itumia kwa shughuli kubwa kama video editing,Sound editing,graphics au small SERVER Machine ukiiona mwenye utaelewa nini namaanisha.Bahati mbaya simu yangu camera inasumbua.

resource.process
 
Ok ngoja nimtafute fundi wangu mwenye utaalamu huo ntakujulisha. Nampa simu yako akupigie basi.
 
Nahiyo laptop yenye specs hizo itakuwa mchina 100%
hahaha! say whatever my friend...
almost every company manufactures their devices in china, tena ukiongelea computers ndio usiseme kabisa, wote wana assemble china japo R&D inafanyika nchi nyingine
 
laki 3.2 (320,000/=) 0769502020

heavy duty hp xw4600 workstation
made in japan
hdd 250gb
ram 2gb
monitor flat inchi 19
keyboard
mouse
duo core 2 intel
cpu speed 3.0ghz
windows 7
office 2007
video editing software:adobe premiere na after effects cc 7
firewire port ziko 3 kwa ajili ya kucapture video toka kwenye video camera
usb ports 8
cd/dvd multi player

sold out
 
hiyo sio heavy duty... mashine ndogo sana hiyo hata video editing haipeleki... mi najua ntakutana na i7 humu ndani nirukie fasta, yani dual core 2... ram 2gb hdd 250gb hahaha. acha utani.. kwa hiyo bei mtu akinipa namuuzia laptop yenue specs mara tatu ya hiyo

Ipo i7 only desktop 750,000/=
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom