Ofa kwa shule za Sekondari zote

Ofa kwa shule za Sekondari zote

Joined
Jun 13, 2013
Posts
34
Reaction score
10
StarLink group kwa kutambua changamoto mbalimbali zinazozikumba shule mbalimbali hasa za Sekondari namna ya kutunza nyaraka mbalimbali za shule, zikiwemo;

1) Ripoti za Wanafunzi

2) Record za Wanafunzi (Matokeo mbalimbali ya Mitihani na taarifa nyingine)

Tumetengeneza Application inayoitwa Student Inforomation System (SIS) kwa shule zote za Sekondari, ambayo ina uwezo wa;

1) Kutunza Records zote za Mwanafunzi tangu aanze shule (Yaani Form One), mpaka amalize (Yaani Form Four).

2) Kila Mwanafunzi ana uwezo wa kuangalia Matokeo kwenye Profile yake akiwa Likizo (Kwa shule zenye tovuti).

3) Walimu wana uwezo wa kuweka Matokeo ya Mihula tofauti kwa watoto kulingana na Kidato husika bila shida yoyote, kwani kila department ina Profile lake (Kiswahili, Geography n.k.).

4) Kila Department ina uwezo wa kuprint Ripoti za Wanafunzi (Matokeo yaliyopangwa kwa ufaulu) kwa Muhula husika.

5) Kuzingatia suala la ulinzi, kila Mwalimu ana Username na Password yake.

6) Kila Mwalimu ataruhusiwa kubadili Password (neno siri) pale itapohitajika.

7) Ina uwezo wa kutoa Matokeo ya shule nzima kulingana na Vidato husika.

8) Kwa Wanafunzi waliohitimu shule (Form Four) husika, System inatunza Performance Report zote (Kuanzia Kidato cha Kwanza mpaka cha Nne).

9) Pia kwa Walimu na Wanafunzi ambao watasahau Password, ina uwezo wa kurudisha.

10) Ina uwezo wa kusajili Walimu na Wanafunzi wote wa shule husika.

11) Mkuu wa Taaluma anaweza kuona Matokeo ya Wanafunzi wote na kuprinti Perfomance Ripoti.

GHARAMA:
Kwa sasa System haiuzwi, ila tunatoa msaada kwa shule zinazohitaji bure kabisa. Japo shule itahitajika kutulipa (Tsh:200,000/=) tu. Kwa kazi ya kufanya configuration na kuiweka mfumo unaoendana na shule husika ili shule iweze kuitumia kwa kutunza data zao.

ANGALIZO:
Hilo tozo halihusiani na gharama ya Miundombinu, Vifaa, usafiri na malazi, ambapo kila shule itawajibika kununua / kutulipa / kutuhudumia pale itapohitajika (Shule zilizo nje ya Dar es salaam).

Kwa mawasiliano zaidi:

Piga: +255 714 596 405 (Marketing Manager - Starlink)

Email: eliyudmsigwa@gmail.com
 
Back
Top Bottom