Una habari ELiza wa Tegeta amechinjwa jana?
Ukinionea RussianRoulette mwambie a-come this way.... Kuna ukaguzi flani hivi sikumfanyia. Afu yule shem wangu wa ukweli.... Damn nshaanza kusahau majina ujue. Yes, AshaDii mwambie ana kesi ya kujibu... Kama mtori ulimshinda si angenipikia uji tu....Karibu sana ODM... Wajukuu wote, wapwazi, mabinamuzi, mashemejiz, wanachama wote bila kujali itikadi zao, pamoja na mamodereta wote haswa PAW wapo tayari kukupokea!
Nashukuru wapendwa. Japo bado siyo kivile. Kiherehere na kuwamisi vimenilazimu niazime kinokia cha bibi yenu ili niwasalimuni. Mkiona kimya msihofu. Dena sore, umenipigia lini? Ngoja nimtume mtoto akaniletee simu kwa mangi pale wanaichaji.
Atapokeaje wakati hujawahi hata kumpelekea machungwa?..Kweli ulipatikana pole sana. BTW. Mbona hupokei simu yangu
Unaitwa kule chit chat na bht.Babu, hujui furaha ya moyo wangu kwa kweli! wanasemaga huwezi jua thamani ya kitu kabla hujakikosa. unge-rest in pieces yaani bibi angehisi mie ndo mwizi wa siku zote ( kumbe walaa) kwa jinsi ningevyozirai na kuzimia kufa kufa kwenye hiyo party yako! dah, sikujuaga nakupendaga hivi (sio namna ile ila namna hii,kha!).
karibu, ngoja ni-digest kwanza huu ujio wako.
sasa King... Maadam ushajua wanipendaga mbona nimebung'aa huku inbox sioni foleni za PMs. Hujui ku do the needful na vikongwe? Slow and tender actions, maxmum satisfaction, minimum risk, assuarance of soon and very soon benefits of Next of kin. Wahi kabla hujawahiwa lolBabu, hujui furaha ya moyo wangu kwa kweli! wanasemaga huwezi jua thamani ya kitu kabla hujakikosa. unge-rest in pieces yaani bibi angehisi mie ndo mwizi wa siku zote ( kumbe walaa) kwa jinsi ningevyozirai na kuzimia kufa kufa kwenye hiyo party yako! dah, sikujuaga nakupendaga hivi (sio namna ile ila namna hii,kha!).
karibu, ngoja ni-digest kwanza huu ujio wako.