Wote wako na nguvu sawa kisiasa. Lakini wao wanajua hawawezi kushinda huu uchaguzi bila ya usadizi wa magwiji wengine wa kisiasa. Ndio maana wanatafuta ungwaji mkono na kufanya muungano na wanasiasa kama hawa ili kuwasaidia kuzoa wafuasi siku ya uchaguzi.Jamani kwa siasa za Kenya kuna wagombea wazito wawili tu yaani Odinga na Uhuru Kenyatta, nani unahisi atashinda na kwanini?
Tuchangie kwa ustaarabu.