technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
- Thread starter
-
- #41
Haaaaaah yakweli hayoAnatafuta urafiki na baba J ili asaidiwe vikosi wakati wa uchaguzi. Asituingize kwenye mambo yao ya vita vya uchaguzi sisi tulishamalizana na uchaguzi sasa hivi tuna mambo yetu ya ukuta, hapa kazi tu, mwendo kasi, watumishi hewa, kutumbua majipu, kurudia chaguzi ndogo n.k
Anatafuta urafiki na baba J ili asaidiwe vikosi wakati wa uchaguzi. Asituingize kwenye mambo yao ya vita vya uchaguzi sisi tulishamalizana na uchaguzi sasa hivi tuna mambo yetu ya ukuta, hapa kazi tu, mwendo kasi, watumishi hewa, kutumbua majipu, kurudia chaguzi ndogo n.k
Odinga kaachwa na Kenyatta itakua Namwamba?Mpinzani gani uyo mjinga tu na ukabila aende kwao ashugulikie mambo ya ODM kinameguka baada ya Ababu Namwamba kumuachia chama!!!
Mbona povu mkuu, embu kapate hata kikombe cha maji.Nimeangalia Gazeti la mtanzania Leo nikakutana na ukakasi eti anajigeuza mshauri wa watanzania upuuzi mtupu siasa za kenya zimemshinda analukia za Tanzania ni ujinga wa hali ya juu!!
Eti anawashaanga wapinzani kutokaa na kuelewana na Tulia!!
Eti ana siri kwa nini magufuli amezuia maandamano!!!
Huu ni unafiki wa kiwango cha PhD kwako umpige mkeo kwa jilani uzuie mwanamke asipigwe??
Odinga umefilisika kisiasa wakenya wamekuupuuza sasa umeamia Tanzania?
Hivi ilikuwa lini mpinzani wa Tanzania alienda Kenya kuongelea siasa za huko mnikumbushe!!!
Kama nimeongea uongo nisawaMbona povu mkuu, embu kapate hata kikombe cha maji.
Haha umeua mkuu.Tofauti ya Uhuru kenyata na raila odinga,Uhuru ana akili za kupitiliza,jiniaz,raila atamzidi kwa kumiliki sweta tu
Mkuu utazingirwa.Mbona unaongea real shit.Show me your friends and I will tell you who you are.
Magufuli ni mpuuzi. Ana marafiki wapuuzi kama Odinga.
Ukitaka kujua upuuzi wa Odinga soma kitabu cha Miguna Miguna "Peeling Back The Mask: A Quest For Justice in Kenya".
Real recognize real. Mimi kunizingira inabidi wajipange.Mk
Mkuu utazingirwa.Mbona unaongea real shit.
Odinga is a spent force and will never be a president of Kenya, hopeless guy!Nimeangalia Gazeti la mtanzania Leo nikakutana na ukakasi eti anajigeuza mshauri wa watanzania upuuzi mtupu siasa za kenya zimemshinda analukia za Tanzania ni ujinga wa hali ya juu!!
Eti anawashaanga wapinzani kutokaa na kuelewana na Tulia!!
Eti ana siri kwa nini magufuli amezuia maandamano!!!
Huu ni unafiki wa kiwango cha PhD kwako umpige mkeo kwa jilani uzuie mwanamke asipigwe??
Odinga umefilisika kisiasa wakenya wamekuupuuza sasa umeamia Tanzania?
Hivi ilikuwa lini mpinzani wa Tanzania alienda Kenya kuongelea siasa za huko mnikumbushe!!!
Acha woga, wenzio/huyu (w)ameshaamua kufa. Life has no meaning to them! Tuko tofauti! ( Ila mods futa hiyo isije ikaleta shida kwenye mtandao wenu kufungiwa)Mk
Mkuu utazingirwa.Mbona unaongea real shit.
Haitakaa itokee hiyoOdinga is a spent force and will never be a president of Kenya, hopeless guy!
Mimi sio chadema wala ccmHivi ni lini tutaheshimu maoni ya watu wengine...!!!?
Huyu angeongea mazuri ya kuisifia CHADEMA ungekuja na lugha za kejeli kama hizi zaidi ya kumpamba kwa sifa....!!!??
Mimi sio chadema wala ccm
Angekuwa mtanzania mwenzangu nisawa lakini huyu mhuni hapana anataka tu kutugombanishaSasa kwanini unashindwa kuheshimu maoni ya wengine.....!!!?
Angekuwa mtanzania mwenzangu nisawa lakini huyu mhuni hapana anataka tu kutugombanisha