Odinga umeshapotea achana na Tanzania!!

hana lolote aende zake huyo
 
Mkuu kumbe nawewe umeliona hilo odinga eti anataka kumtoa Uhuru kwa kutumia mbinu chafu kama hizo wakati mwenzie anonekana ni mzarendo na mpenda democrasia kila wakenya wanachokidai yeye anawapa !!
Juzi wametoka kuomba time huru tayari amekubali !!!
 
Hahaha eti odinga amfunde Lowasa anachekesha.
 
Tangu lini umeanza kupakatwa?
 
Unasikia!!?
mbowe mwenyekiti bado huja balehe mpaka sasa una mtoto bado mwenyekiti
Wajinga hawataisha duniani; huyo odingwe wako anatakiwa akaondoe ukabila kwanza kenya; atumie nguvu nyingi kuwashauri wakenya wenzake kuacha siasa na dini za ukabila;

kwa hali ilivyo kenya yaani kama mchungaji au shekhe ni luo; waumini wote ni luo ibada zote ni kiluo hata kama kuna wachache wasioluo; kwakikuyu ni hivyohivyo; kila kabila lina chama chake cha siasa; odinga alishazoea kushauri ukabila kwa tz hawezi maana hatuna silogani ya kikabila;
 
Hilo swali muulize mamako
sawa mzibua choo wa lumumba na mkata viuno wao,,, tatizo sio wewe ni yule alie kuleta duniani kupitia mikesha ya mwenge ndio maana humjui baba yako ni nan,,, sura kama ngozi ya goti
 
sawa mzibua choo wa lumumba na mkata viuno wao,,, tatizo sio wewe ni yule alie kuleta duniani kupitia mikesha ya mwenge ndio maana humjui baba yako ni nan,,, sura kama ngozi ya goti
Hehehe
Umesha muuliza swali ?!
 
Kama kawaida yenu kutoa povu mnaposikia habari hasi dhidi yenu
Hivi kuna mpinzani Tanzania unaeweza kumlinganisha na Odinga?
 
Kama kawaida yenu kutoa povu mnaposikia habari hasi dhidi yenu
Hivi kuna mpinzani Tanzania unaeweza kumlinganisha na Odinga?
Mpinzani gani uyo mjinga tu na ukabila aende kwao ashugulikie mambo ya ODM kinameguka baada ya Ababu Namwamba kumuachia chama!!!
 
Odinga kwa nini anafanya ziaranyingi kuliko rais wa Kenya? Anakuja kuchangisha hela za kampeni? Anataka kutugombanisha na wakenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…