technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,560
- 57,885
Nimeangalia Gazeti la mtanzania Leo nikakutana na ukakasi eti anajigeuza mshauri wa watanzania upuuzi mtupu siasa za kenya zimemshinda analukia za Tanzania ni ujinga wa hali ya juu!!
Eti anawashaanga wapinzani kutokaa na kuelewana na Tulia!!
Eti ana siri kwa nini magufuli amezuia maandamano!!!
Huu ni unafiki wa kiwango cha PhD kwako umpige mkeo kwa jilani uzuie mwanamke asipigwe??
Odinga umefilisika kisiasa wakenya wamekuupuuza sasa umeamia Tanzania?
Hivi ilikuwa lini mpinzani wa Tanzania alienda Kenya kuongelea siasa za huko mnikumbushe!!!
Sio unafiki juzi katoka kuandamana na kupata tume huru ya uchaguzi kwao Kenya sasa Nani mnafiki hapo Mimi sio chadema lakini hana uhalali wa kuingelea Tanzania kwa chochote kama Nani yeye??Angeisifia chadema ungeona sifa angezopata... achen unafiki.. kila kzur kiwe chenu tu?
Hehehe aSio unafiki juzi katoka kuandamana na kupata tume huru ya uchaguzi kwao Kenya sasa Nani mnafiki hapo Mimi sio chadema lakini hana uhalali wa kuingelea Tanzania kwa chochote kama Nani yeye??
Acha unafiki kwanza ujui lolote ujui Kenya !!!Odinga anatumia vizuri Ruzuku kutoka serikalini, Anatumia ofisi yenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani kenya.
Odinga habadili katiba ya chama kukifanya cha ukanda na udikteta ndani ya chama.
Odinga anarusuhu kukosolewa ndani ya chama
Na kila mtu kuwa na maoni yake.
Kwahio huyo si mwanachama Msaka Tonge wala Kibendera
Unayemsifia alichaguliwa lini kushika hayo madaraka ndan ya chama chake ? Toka 1992 nasikia Odinga hadi leoOdinga anatumia vizuri Ruzuku kutoka serikalini, Anatumia ofisi yenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani kenya.
Odinga habadili katiba ya chama kukifanya cha ukanda na udikteta ndani ya chama.
Odinga anarusuhu kukosolewa ndani ya chama
Na kila mtu kuwa na maoni yake.
Kwahio huyo si mwanachama Msaka Tonge wala Kibendera
Unasikia!!?Unayemsifia alichaguliwa lini kushika hayo madaraka ndan ya chama chake ? Toka 1992 nasikia Odinga hadi leo
Wewe Mbowe alikuwa mwenyekiti huja jitambuaAcha unafiki kwanza ujui lolote ujui Kenya !!!
Kenya ndio nchi yenye utitiri ya vyama vya siasa kila kabila lina chama chake !!
Odinga ni chief wa Odm na hajawai acha hiyo nafasi tokea Odm imeanzishwa sasa wewe unaongea nini
Sisi tunaikosoa Kenya kwa mambo ya competition biashara kwa sababu ya lobbying yao sio siasa siasa za ndani kama bunge utakiwi kuyaingilia hatharaniHehehe a
Nyie mnapo iongelea kenya?!
Sisi tunaikosoa Kenya kwa mambo ya competition biashara kwa sababu ya lobbying yao sio siasa siasa za ndani kama bunge utakiwi kuyaingilia hatharani
Wewe unafikiri Mimi Nina mawazo kama ya kwako ya kichadema chadema na kigamba gamba sipo uko Mimi sijashikwa akiri kama wewe nipo huru nakosoa kokoteWewe Mbowe alikuwa mwenyekiti huja jitambua
Leo una miliki simu bado mwenyekiti
Yeye chief?
Odinga ni mgombea wa kudumu wa urais Kenya.Odinga anatumia vizuri Ruzuku kutoka serikalini, Anatumia ofisi yenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani kenya.
Odinga habadili katiba ya chama kukifanya cha ukanda na udikteta ndani ya chama.
Odinga anarusuhu kukosolewa ndani ya chama
Na kila mtu kuwa na maoni yake.
Kwahio huyo si mwanachama Msaka Tonge wala Kibendera
Anaurafiki wa kitambo Sana na Mkuu ss naona anajaribu kujiwekaweka angalau apate headlines lkn ni upuuzi tu usio na mashiko. Hivi wanazuia vyakula kuuzwa Kenya ili wamtoe aliye madarakani mbinu mgando Sana hizo wafanyabiashara wanaumia surplus kibao perishable goods zinawaletea headache kila kukicha hamna mtetezi. Yaan hyu raila angajifungia tu mdomo asitake kuamsha vilivyolala.Sio unafiki juzi katoka kuandamana na kupata tume huru ya uchaguzi kwao Kenya sasa Nani mnafiki hapo Mimi sio chadema lakini hana uhalali wa kuingelea Tanzania kwa chochote kama Nani yeye??
tofauti na wapinzani wa kenya chadema ni wapinga maendeleo. dunia inawashangaa cdm kuvaa njuga kumpinga kiongozi kama jpm.Nimeangalia Gazeti la mtanzania Leo nikakutana na ukakasi eti anajigeuza mshauri wa watanzania upuuzi mtupu siasa za kenya zimemshinda analukia za Tanzania ni ujinga wa hali ya juu!!