Habari ya kufikilika. Mhandish ametumwa. Nchi zingine angefunguliwa kesi ya uhaini. Ndani ya habari anatumia maneno ya "inasemekana" kisheria hii ni ' hear say' analeta hofu isiyodhibitika. Akamatwe ili adhibitishe uchochezi wake akishindwa afungwe liwe funzo kwa wengine