Cybercrime
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 3,246
- 1,113
gazeti la propaganda za kitoto
Kiongozi wa Muungano wa vyama vya ODM na WHIPER, CORD ya Kenya, RAILA AMOLO ODINGA anadaiwa kutia mkono katika siasa za Tanzania baada ya kuthibitika kuwa anakisaidia CHADEMA namna ya kudhoofisha serikali ya Rais Jakaya Kikwete na hata kukiangusha CCM kutoka madarakani.
Habari zinasema ni ODINGA ndiye alimshauri Mbowe atumie nafasi ya uandikaji wa Katiba Mpya kushawishi vyama vingine kuungana ndipo wanapoweza kukiangusha CCM na kwamba hata ikishindika basi yanaweza kutokea machafuko kama yalivyotokea Kenya ili usuluhishi ufanyike na watu wagawane madaraka na hapo MBOWE anaweza kuwa Waziri Mkuu kama ilivyokuwa ODINGA.
Inasemekana tayari ODINGA ameshatoa kiasi cha fedha Dola 50,000 za kimarekani kwa kiongozi wa CHADEMA kama hatua ya mwanzo na kwamba ameahidi kutoa CHOPA tatu zitakazotumiwa na viongozi wa UKAWA hasa CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kukubaliana na matakwa ya CHADEMA ya serikali tatu.
ODINGA anafanya hivyo kulipa fadhila kwa CHADEMA kufuatia chama hicho kukisaidia chama chake cha CORD katika kampeni za uchaguzi wa chama hicho mwaka jana ambapo CHADEMA ilipeleka magari matatu aina ya FUSO na wasanii wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, FULGENCE MAPUNDA.
VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VYA TANZANIA
habari zaidi zinasema vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania tayari vimemtumia salaam Raila Odinga na kumfahamisha kuwa, mchezo anao ucheza tayari unajulikana na kumshauri kuacha mara moja kuingilia siasa za nchi huru kama Tanzania.
VYAMA VYA CUF NA NCCR-MAGEUZI
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema vyama vya NCCR-MAGEUZI na CUF vilivyoungana na CHADEMA kuunda UKAWA havijui siri iliyoko ndani bali hupelekwa tu kama bendera inavyofuata upepo
Itakumbukwa kuwa baada ya uchaguzi mkuu nchini KENYA mwaka 2007 nchi hiyo iliingia katika machafuko makubwa ya umwagaji damu na kusababisha vifo vya watu zaidi 1,000 huku wengine makumi na mamia wakiachwa bila makazi hadi pale ilipoitishwa meza ya mazungumzo na kuhitimishwa kwa kugawana madaraka ambapo Raila Odinga alitawazwa kuwa Waziri Mkuu na Mwai Kibaki akiwa Rais.
source: SAUTI HURU
Habari hii imeletwa kwenu na ACT kwa hisani ya watu wa lumumba?Kiongozi wa Muungano wa vyama vya ODM na WHIPER, CORD ya Kenya, RAILA AMOLO ODINGA anadaiwa kutia mkono katika siasa za Tanzania baada ya kuthibitika kuwa anakisaidia CHADEMA namna ya kudhoofisha serikali ya Rais Jakaya Kikwete na hata kukiangusha CCM kutoka madarakani.
Habari zinasema ni ODINGA ndiye alimshauri Mbowe atumie nafasi ya uandikaji wa Katiba Mpya kushawishi vyama vingine kuungana ndipo wanapoweza kukiangusha CCM na kwamba hata ikishindika basi yanaweza kutokea machafuko kama yalivyotokea Kenya ili usuluhishi ufanyike na watu wagawane madaraka na hapo MBOWE anaweza kuwa Waziri Mkuu kama ilivyokuwa ODINGA.
Inasemekana tayari ODINGA ameshatoa kiasi cha fedha Dola 50,000 za kimarekani kwa kiongozi wa CHADEMA kama hatua ya mwanzo na kwamba ameahidi kutoa CHOPA tatu zitakazotumiwa na viongozi wa UKAWA hasa CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kukubaliana na matakwa ya CHADEMA ya serikali tatu.
ODINGA anafanya hivyo kulipa fadhila kwa CHADEMA kufuatia chama hicho kukisaidia chama chake cha CORD katika kampeni za uchaguzi wa chama hicho mwaka jana ambapo CHADEMA ilipeleka magari matatu aina ya FUSO na wasanii wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, FULGENCE MAPUNDA.
VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VYA TANZANIA
habari zaidi zinasema vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania tayari vimemtumia salaam Raila Odinga na kumfahamisha kuwa, mchezo anao ucheza tayari unajulikana na kumshauri kuacha mara moja kuingilia siasa za nchi huru kama Tanzania.
VYAMA VYA CUF NA NCCR-MAGEUZI
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema vyama vya NCCR-MAGEUZI na CUF vilivyoungana na CHADEMA kuunda UKAWA havijui siri iliyoko ndani bali hupelekwa tu kama bendera inavyofuata upepo
Itakumbukwa kuwa baada ya uchaguzi mkuu nchini KENYA mwaka 2007 nchi hiyo iliingia katika machafuko makubwa ya umwagaji damu na kusababisha vifo vya watu zaidi 1,000 huku wengine makumi na mamia wakiachwa bila makazi hadi pale ilipoitishwa meza ya mazungumzo na kuhitimishwa kwa kugawana madaraka ambapo Raila Odinga alitawazwa kuwa Waziri Mkuu na Mwai Kibaki akiwa Rais.
source: SAUTI HURU
Dhambi sio kubwa tuu bali mbaya sana .ata wahenga walisema heri ya mchawi kuliko mfitinishi .Kuna watu au kikundi cha watu kina dhambi sana, yaani kila kukikucha hawaoni raha bila kuzusha uongo dhidi ya wengine. NI DHAMBI KUBWA HII.
Habari hii imeletwa kwenu na ACT kwa hisani ya watu wa lumumba?
Kiongozi wa Muungano wa vyama vya ODM na WHIPER, CORD ya Kenya, RAILA AMOLO ODINGA anadaiwa kutia mkono katika siasa za Tanzania baada ya kuthibitika kuwa anakisaidia CHADEMA namna ya kudhoofisha serikali ya Rais Jakaya Kikwete na hata kukiangusha CCM kutoka madarakani.
Habari zinasema ni ODINGA ndiye alimshauri Mbowe atumie nafasi ya uandikaji wa Katiba Mpya kushawishi vyama vingine kuungana ndipo wanapoweza kukiangusha CCM na kwamba hata ikishindika basi yanaweza kutokea machafuko kama yalivyotokea Kenya ili usuluhishi ufanyike na watu wagawane madaraka na hapo MBOWE anaweza kuwa Waziri Mkuu kama ilivyokuwa ODINGA.
Inasemekana tayari ODINGA ameshatoa kiasi cha fedha Dola 50,000 za kimarekani kwa kiongozi wa CHADEMA kama hatua ya mwanzo na kwamba ameahidi kutoa CHOPA tatu zitakazotumiwa na viongozi wa UKAWA hasa CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kukubaliana na matakwa ya CHADEMA ya serikali tatu.
ODINGA anafanya hivyo kulipa fadhila kwa CHADEMA kufuatia chama hicho kukisaidia chama chake cha CORD katika kampeni za uchaguzi wa chama hicho mwaka jana ambapo CHADEMA ilipeleka magari matatu aina ya FUSO na wasanii wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, FULGENCE MAPUNDA.
VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VYA TANZANIA
habari zaidi zinasema vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania tayari vimemtumia salaam Raila Odinga na kumfahamisha kuwa, mchezo anao ucheza tayari unajulikana na kumshauri kuacha mara moja kuingilia siasa za nchi huru kama Tanzania.
VYAMA VYA CUF NA NCCR-MAGEUZI
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema vyama vya NCCR-MAGEUZI na CUF vilivyoungana na CHADEMA kuunda UKAWA havijui siri iliyoko ndani bali hupelekwa tu kama bendera inavyofuata upepo
Itakumbukwa kuwa baada ya uchaguzi mkuu nchini KENYA mwaka 2007 nchi hiyo iliingia katika machafuko makubwa ya umwagaji damu na kusababisha vifo vya watu zaidi 1,000 huku wengine makumi na mamia wakiachwa bila makazi hadi pale ilipoitishwa meza ya mazungumzo na kuhitimishwa kwa kugawana madaraka ambapo Raila Odinga alitawazwa kuwa Waziri Mkuu na Mwai Kibaki akiwa Rais.
source: SAUTI HURU
Nonesense...!
Kwanza hakuna mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA mwenye jina la Fulgence Mapunda
Pili,Wangeweka wazi ni akaunti ipi hizo fedha zililipwa
Njaa na uroho wa madaraka mpiga disco anataka kuteletea shida zake
Sio vibaya kwa vyama vya siasa kushirikana na kubadilishana utaalam na kusaidiana hasa ktk nyanja za ujuzi,rasimali fedha kote duniani wanafanya hivyo ndio maana CCM mpaka leo inashirikiana na vyama kibao kote duniani.Unachokisema wakisema kwasb ya uelewa wa watu wenu bado ndogo na si kweli kuwa Mr Odinga anaingilia siasa za Tanzania ili kuleta matatizo katka ardhi hii,kumbuka hii familia ya Odinga ni sisi watz ndio tuliwasaidia huyu Raila alikuwa anakaa kwa mwl.Nyerere kabla hajaenda masomoni Ulaya kushukua degree yake ya kwanza ya uinjinia.Mimi nafuatilia sana siasa za Kenya Odinga unamsingizia. Nikweli chama chake cha ODM kina mahusiano mazuri sana na Chadema,NCCR na CUF lakini yote ni kwa ajili ya kupeana uzoefu na ujuzi wa kuendesha hizi vyama. maana hizi vyama ni wadau namba moja wa amani ata hata hapa kwetu sasa kushauri watu kuungana ni kosa?hakuna asiye jua umoja ndio nguvu na mimi nawashauri hao UKAWA nguvu yao ipo kwenye umoja na kuelekea ktk uchaguzi wasimamishe candidate moja tu kwa post ya urais,ubunge waachiana kwa kila jimbo mtu moja tu na hata udiwana na serikali ya mtaa.Hakika wakifanya hivyo story itabadilika maana watz wako tayari kwa mabadilko ila hawajaunganishwa tu ktk centre moja.
Katika kuungana watapata shida nyingi maana kawaida aliyeko madarakani hapendi umoja wa wanaompinga,lakini ni ujasiri tu,mjue kushinda uchaguzi wenu mkuu ni lazima mshinde vita ya kuwafarakanisha,sheria za tz haipendi umoja but mnawewza kukwepa ilo kwa kubaki na vyama vyenu lakini mkashirikana kawa kupata mgombea moja bora kwa kila post.YES YOU CAN
You are a lost son! i am very sorry........, nothing can be done to help you.
Habari hii imeletwa kwenu na ACT kwa hisani ya watu wa lumumba?
mKiongozi wa Muungano wa vyama vya ODM na WHIPER, CORD ya Kenya, RAILA AMOLO ODINGA anadaiwa kutia mkono katika siasa za Tanzania baada ya kuthibitika kuwa anakisaidia CHADEMA namna ya kudhoofisha serikali ya Rais Jakaya Kikwete na hata kukiangusha CCM kutoka madarakani.