Odinga atia mkono UKAWA

Odinga atia mkono UKAWA

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,868
Reaction score
5,753
Kiongozi wa Muungano wa vyama vya ODM na WHIPER, CORD ya Kenya, RAILA AMOLO ODINGA anadaiwa kutia mkono katika siasa za Tanzania baada ya kuthibitika kuwa anakisaidia CHADEMA namna ya kudhoofisha serikali ya Rais Jakaya Kikwete na hata kukiangusha CCM kutoka madarakani.

Habari zinasema ni ODINGA ndiye alimshauri Mbowe atumie nafasi ya uandikaji wa Katiba Mpya kushawishi vyama vingine kuungana ndipo wanapoweza kukiangusha CCM na kwamba hata ikishindika basi yanaweza kutokea machafuko kama yalivyotokea Kenya ili usuluhishi ufanyike na watu wagawane madaraka na hapo MBOWE anaweza kuwa Waziri Mkuu kama ilivyokuwa ODINGA.

Inasemekana tayari ODINGA ameshatoa kiasi cha fedha Dola 50,000 za kimarekani kwa kiongozi wa CHADEMA kama hatua ya mwanzo na kwamba ameahidi kutoa CHOPA tatu zitakazotumiwa na viongozi wa UKAWA hasa CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kukubaliana na matakwa ya CHADEMA ya serikali tatu.

ODINGA anafanya hivyo kulipa fadhila kwa CHADEMA kufuatia chama hicho kukisaidia chama chake cha CORD katika kampeni za uchaguzi wa chama hicho mwaka jana ambapo CHADEMA ilipeleka magari matatu aina ya FUSO na wasanii wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, FULGENCE MAPUNDA.

VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VYA TANZANIA
habari zaidi zinasema vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania tayari vimemtumia salaam Raila Odinga na kumfahamisha kuwa, mchezo anao ucheza tayari unajulikana na kumshauri kuacha mara moja kuingilia siasa za nchi huru kama Tanzania.

VYAMA VYA CUF NA NCCR-MAGEUZI
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema vyama vya NCCR-MAGEUZI na CUF vilivyoungana na CHADEMA kuunda UKAWA havijui siri iliyoko ndani bali hupelekwa tu kama bendera inavyofuata upepo

Itakumbukwa kuwa baada ya uchaguzi mkuu nchini KENYA mwaka 2007 nchi hiyo iliingia katika machafuko makubwa ya umwagaji damu na kusababisha vifo vya watu zaidi 1,000 huku wengine makumi na mamia wakiachwa bila makazi hadi pale ilipoitishwa meza ya mazungumzo na kuhitimishwa kwa kugawana madaraka ambapo Raila Odinga alitawazwa kuwa Waziri Mkuu na Mwai Kibaki akiwa Rais.

source: SAUTI HURU
 
Hivi hii nayo habari? Mnatujazia saver tu kwa upuuzi!
 
Asituletee tu kikundi chake cha AL-SHAABAB
 
Kama CHADEMA walimsaidia akagonga mwamba, ni imani ya watanzania kuwa hata huku watagonga mwamba tu.
 
Kuna watu au kikundi cha watu kina dhambi sana, yaani kila kukikucha hawaoni raha bila kuzusha uongo dhidi ya wengine. NI DHAMBI KUBWA HII.
 
Vyombo vya ulinzi na usalama wameshamshauri yule balozi wa china!?? anayesaidiwa hadi kuvaa kofia ya CCM? Vyombo vya ulinzi vipeleke pua kwa akina CAMERON!! vichipate tehe!! MASABURI
 
mbowe hata ashauriwe vp hawez kufanikiwa. IQ yake ni ndogo, u DJ ulikuwa unamfaa sijui kwa nin analazmisha siasa
 
Odinga yuko kundi la kushindwa sawa na Mbowe yuko kundi la kushindwa chadema/ukawa.
 
You are a lost son! i am very sorry........, nothing can be done to help you.
 
Kuna watu au kikundi cha watu kina dhambi sana, yaani kila kukikucha hawaoni raha bila kuzusha uongo dhidi ya wengine. NI DHAMBI KUBWA HII.

nani kazusha mkuu, una maanisha wandishi wa SAUTI HURU ni wazushi?
 
Vyombo vya ulinzi na usalama wameshamshauri yule balozi wa china!?? anayesaidiwa hadi kuvaa kofia ya CCM? Vyombo vya ulinzi vipeleke pua kwa akina CAMERON!! vichipate tehe!! MASABURI

Yule balozi alikuwa anashugulika na maendeleo ya watanzania, angalia malengo ya ODINGA kwenye mada hii,ni hatari sana.
 
Odinga ni mzee miaka 75 sawa na Dr Slaa na bado eti wanautaka Urais...
 
You are a lost son! i am very sorry........, nothing can be done to help you.

tusipuuze mambo haya kwa sababu tu CHADEMA wameguswa,tujipande kukabiliana na maadui wanaotuzunguka hasa ukizingatia ODINGA anatuhumiwa kufadhili makundi ya umwagaji damu nchini Kenya, si busara kupuuza habari inayomhusu hata kidogo.
 
Back
Top Bottom