Odila Ongara afariki dunia

Odila Ongara afariki dunia

mabere nyaucho marando
philemoni sarungi
barack obama
raila odinga
obama wa bongo next

Obama wa bongo sidhani kama hili lina tija kwa mustakabali wa maendeleo ya Rorya,Mara au taifa kwa ujumla.Uwepo wa hao vigogo serikalini haujawasaidia Wanarorya na Wajaluo kwa ujumla.
 
Obama wa bongo sidhani kama hili lina tija kwa mustakabali wa maendeleo ya Rorya,Mara au taifa kwa ujumla.Uwepo wa hao vigogo serikalini haujawasaidia Wanarorya na Wajaluo kwa ujumla.
hapana mkuu unakosea!
ukisema msaada usiangalie wajaluo tu,angalia msaada waliotoa kwa taifa husika
lameck airo ndio anawapumbaza wanarorya kwa misaada na kuwaponda watu wengine kwanini hawatoi misaada
rorya haitaendelea kwa misaada kutoka kwa watu binafsi,bali kwa kujibidisha wenyewe kuleta maendeleo ya mtu mmoja then maendeleo ya ujumla ya tafuata tu
 
Tuko pamoja mkuu,napinga wanaoorodhesha majina ya wanarorya waliopo au waliowah kuwa kwenye system ambao hawajafanya mambo ya kuonekana.
 
Hii habari japo nimeisoma leo lakini imenikumbusha mbali sana, huyo mzee sikuwahi kumfahamu lakini nimepata kumfahamu mke wake mkubwa alikuwa meneja katika benki ya NBC miaka ya 1980 na tukafahamiana na familia yake(huyo mama) ikiwa ni pamoja na kaka yake wakati huo alikuwa mhadhiri Udsm na baadaye akawa kiongozi mkubwa tu katika wizara mbalimbali(nisingependa kumtaja) na mama yao na ndugu wengine walikuwa wakiishi mbeya na kupitia yeye wengi wetu tulienda kusoma sekondari mbeya kule tukuyu ambapo ndio chimbuko la familia yao,nilikuwa sijui yule mama kama alifiwa na mumewe miaka mingi kutokana na sisi pia baada ya mzee wetu kufariki mawasiliano yalipungua
pole sana mjomba
 
Mzee Odira Ongara alikuwa ni mmoja wa viongozi wachache ambao Mwalimu aliwaamini sana katika nyadhifa ya Ukatibu Mkuu (Wizara ya Ujenzi n.k) na Ukurugenzi wa Maendeleo wa Mikoa mbalimbali na alitumikia taifa kwa uaminifu na uzalendo mkubwa sana katika nyadhifa zake hizo;

Ifahamike kwamba ukatibu mkuu wa Wizara ndio nyadhifa ya juu kabisa/highest rank ya utumishi wa umma katika nchi yetu; Inasikitisha kukabiliana na ukweli kwamba serikali yetu haina angalau mpango wa na kuja maktaba ya kumbukumbu/historia za viongozi wa taifa letu ili vizazi vya baadae vije kujifunza kuhusu viongozi mbalimbali waliotumikia taifa letu; Poleni sana wana familia; Mungu amlaze mahali pema peponi; Amina;
Nyerere aliowaamini wote aliwapatia uwaziri isipokuw huyu marehemu.

R.I.P babu
 
Back
Top Bottom