Umeandika kama yule anayegombea ubunge kwa nafasi ya uraisMada ni nzuri na ndeefu, tatizo ni Moja tu;
IMEJAA UNAFIKI NA HILA ILIYOJIFICHA UVUNGUNI KABISA MWA MOYO...........ndo maana hakuna mafanikio kwenye Kila lenu la ,imdhuru Samia, Mungu anamlinda.
Soon nchi ya Misukule na maiti itakuwa rasmi chini ya utawala wa Idd Amin Mama.
Mkuu, nakuelewa sana tu sababu nayajua maumivu ya kuendelea kumuona usiyempenda akizidi kushamiri. Uwepo wa Samia unawaumiza sana, mnakesha kufanya Kila aina ya uchawi, majungu, fitina n.k lkn mnadunda tu mwamba.ππππ
Umeandika kama yule anayegombea ubunge kwa nafasi ya urais
Hujaelewa maana ya "uzalendo".Kuna mtoto alikuwa anachezea mabutungutu ya usd ulimuona?
Hivi umechukua muda gani kuandika hili gazeti? Naikumbuka sana hiyo tarehe kwa namna ilivyotibua maji mpaka leo hapakalikiMkuu, nakuelewa sana tu sababu nayajua maumivu ya kuendelea kumuona usiyempenda akizidi kushamiri. Uwepo wa Samia unawaumiza sana, mnakesha kufanya Kila aina ya uchawi, majungu, fitina n.k lkn mnadunda tu mwamba.
-mlipiga Kila aina ya mkwara asichukue fomu, kachukua.
-kamanda wenu, kale kambaumbau polepole, Sasa hivi watu wanajionea ni mpoki tu au joti wakiwa kazini.
-novena yenu imefeli, Mungu hapokei sala za majungu na fitina na wivu
-nia yenu ya kulazimisha watu woooote wamchukie imefeli, Sasa mmepaniki na kutumia nguvu kuwanyamazisha katika kushiriki ile kitu roho inapenda.
-yule kamanda wenu mwingine aliyetoa siku 10 kwa ukali mkubwa amepotea mazima, labda anajipanga lakini hatujui.
-uchuro wa mamia ya nyuzi zenu humu umebaki kuwa kichekesho tu.
Kilichobaki Sasa ni kitisho chenu hicho Cha kitoto, eti mtaandamanaπ€£π€£π€£π€£. Na wengine, wakiwa wamegubikwa na weusi wa unafiki kwenye nyuso zao na hivyo kutokwa na aibu, eti wanatangaza makongamano siku hiyo.......yote hii ni kuchanganyikiwa tu kutokana na chuki zilizopitiliza na kutaka kuitafuta shari. Wafanye makongamano nchi nzima tuone, na si dar tu. Wataachwa waendelee na makongamano yao na wengine kura tutapiga. Wakijaribu kutuzuia hapo ndipo itakapoeleweka kwanini jumapili inaitwa jumapili.
Hivi Unaikumbuka ile mada Yako ya 21st to remember?!!!!π€£π€£π€£
Sijawahi kukuona ukiandika kwa kirefu namna hii.Mkuu, nakuelewa sana tu sababu nayajua maumivu ya kuendelea kumuona usiyempenda akizidi kushamiri. Uwepo wa Samia unawaumiza sana, mnakesha kufanya Kila aina ya uchawi, majungu, fitina n.k lkn mnadunda tu mwamba.
-mlipiga Kila aina ya mkwara asichukue fomu, kachukua.
-kamanda wenu, kale kambaumbau polepole, Sasa hivi watu wanajionea ni mpoki tu au joti wakiwa kazini.
-novena yenu imefeli, Mungu hapokei sala za majungu na fitina na wivu
-nia yenu ya kulazimisha watu woooote wamchukie imefeli, Sasa mmepaniki na kutumia nguvu kuwanyamazisha katika kushiriki ile kitu roho inapenda.
-yule kamanda wenu mwingine aliyetoa siku 10 kwa ukali mkubwa amepotea mazima, labda anajipanga lakini hatujui.
-uchuro wa mamia ya nyuzi zenu humu umebaki kuwa kichekesho tu.
Kilichobaki Sasa ni kitisho chenu hicho Cha kitoto, eti mtaandamanaπ€£π€£π€£π€£. Na wengine, wakiwa wamegubikwa na weusi wa unafiki kwenye nyuso zao na hivyo kutokwa na aibu, eti wanatangaza makongamano siku hiyo.......yote hii ni kuchanganyikiwa tu kutokana na chuki zilizopitiliza na kutaka kuitafuta shari. Wafanye makongamano nchi nzima tuone, na si dar tu. Wataachwa waendelee na makongamano yao na wengine kura tutapiga. Wakijaribu kutuzuia hapo ndipo itakapoeleweka kwanini jumapili inaitwa jumapili.
Hivi Unaikumbuka ile mada Yako ya 21st to remember?!!!!π€£π€£π€£
Maneno muhimu katika mistari yako ni "--- Samia mtaendelea kumuona mtake msitake"Kamwe Mungu hawezi kumpa madaraka mpumbavu wa namna hii aliyejaa uongo, chuki na ubaguzi. Mtaishia hivyo hivyo kuzishazusha uongo wenu wa ajabu ajabu basi. Samia mtaendelea kumuona mtake msitake
Tueleze tu, matumaini yenu yanatoka wapi, kwa sababu siyo kwa sababu waTanzania wanawapenda sana kama maelezo yako yanavyo onyesha.ππ¨Sijawahi kukuona ukiandika kwa kirefu namna hii.
Kwa maoni yako Samia Suluhu Hassan kavuka viunzi vyote sasa, iliyo baki ni kuendelea na kutawala; tena kwa Nguvu Mpya, na Ari zaidi!
Maana yake ni nini kwa waTanzania. TTutegemee maovu makubwa zaidi ya hayo yaliyoonekana katika miaka minne!
Hawa waTanzania mnao wadharau kiasi hiki; kweli mnao uhakika na yajayo?
Huyu Samia unayemwimba hapa, anaye pendwa kiasi unachokizungumzia, hofu yake inatokana na nini, huku akipendwa kiasi hicho?
Tueleze tu, matumaini yenu yanatoka wapi, kwa sababu siyo kwa sababu waTanzania wanawapenda sana kama maelezo yako yanavyo onyesha.
Natofautiana kidogo na wewe hapa.Tubishane kwa hoja tuachane na huu upuuzi wa udini.. Ni hoja ya kipuuzi mno hii
Nashangaa mmeing'ang'ania. Nilisahau, na ukanda.Tubishane kwa hoja tuachane na huu upuuzi wa udini.. Ni hoja ya kipuuzi mno hii
Naona unajitahidi kuipindisha mada Ili ikidhi matakwa yenu ya kishetani. Hata sijasema hatoondoka; asiondoke ye ni nani mbele hii Dunia?!!!! Ninachokiamini Mimi na kukisema ni kuwa hatoondoka kwa hila na majungu yenu yanayochochewa na chuki ya kidini na kikanda, hilo mtashindwa. Na si kwamba atatumia nguvu Ili mshindwe, hapana, ni kwamba Mwenyezi Mungu ataingilia kati kumlindia haki yake ya kutawala iliyoasisiwa na the late JPM kwa kuisambaratisha mipango yenu miovu mbayopanga gizani yoooote.......itapeperushws kama unavyopeperuka moshi wa nyika Huku mkiachiwa adhabu ya kuungua kwa mioyo yenu kutoka na chuki. Hiyo adhabu imeshaanza maana mnapata tabu ya maumivu si mchezo.Maneno muhimu katika mistari yako ni "--- Samia mtaendelea kumuona mtake msitake"
Mimi sina uhakika kama huo ulio nao wewe. Nikimtazama ni mwanamke, binaadam kama sisi wengine wote, lakini kwa bahati mbaya sana katokea kuwa kiongozi wa nchi yetu, mtawala ambaye hana uwezo na nafasi hiyo.
Hayo mategemeo unayo mwekea wewe, ya kulazimisha atawale, ni kudhani mitutu ya bunduki itakuwa upande wenu kila mara. Hiyo mitutu ni mali ya waTanzania, itageuzwa tu kuwaelekea nyinyi; na hapo ndipo tutaelewana na hiyo ya "kutaka, tusitake"!
Hapa unasema atabaki kwa "HILA" na hadaa nyingi milizozifanya; na sasa mnategemea abaki kwa nguvu mkitegemea bunduki za waTanzania zitawalinda?kukisema ni kuwa hatoondoka kwa hila na majungu yenu
Haya unayaandika ukiwa na akili timamu? Huyu "Mungu" wenu mnaye mifukoni mwenu, kwamba mnapotaka kumtumia kuhalalisha uovu mnamweka mbele kumsingizia yeye kwa uovu mnaoufanya nyinyi; huyu ni Mungu kweli?Na si kwamba atatumia nguvu Ili mshindwe, hapana, ni kwamba Mwenyezi Mungu ataingilia kati kumlindia haki yake ya kutawala
Huna akili hebu nenda TikTok huko kwa nyumbu wenzio mkaebdeleecna mipango ya maandamano yenu, ni oktoba mosi Leo.....Bado siku 27Haya unayaandika ukiwa na akili timamu? Huyu "Mungu" wenu mnaye mifukoni mwenu, kwamba mnapotaka kumtumia kuhalalisha uovu mnamweka mbele kumsingizia yeye kwa uovu mnaoufanya nyinyi; huyu ni Mungu kweli?
"... kumlindia HAKI yake"? Samia katoa wapi HAKI ya kuwatawala watu bila ya ridhaa yao!
Yeye Samia anayo HAKI ya kutawala; lakini watu anao watawala hawana HAKI ya kumchagua awatawale?
Hata mantiki nyepesi kiasi hiki huwezi kuielewa? Lakini unakimbilia kwenye UDINI ambao ndio unaokusukuma wewe kuja hapa na kumtetea Samia; kiongozi mwovu kabisa tuliye wahi kuwa naye kwenye taifa hili!
Kama unaamini "Mungu" wako ni mlinda waovu wa namna hii; subiri uone "Mungu" huyo huyo akikutupa mkono.