October to remember

October 14 ni msingi wa maandalizi ya October 29.. Kumbuka tunataka tuziishi fikra na maono ya Hayati Mwalimu Nyerere!
Kuhusu Tanganyika na Zanzibar haya ni mataifa mawili hakuna ubishi bila kujali ukubwa wa maeneo.. Ukakasi uko kwenye Tanzania na Zanzibar!
 
Kamwe Mungu hawezi kumpa madaraka mpumbavu wa namna hii aliyejaa uongo, chuki na ubaguzi. Mtaishia hivyo hivyo kuzishazusha uongo wenu wa ajabu ajabu basi. Samia mtaendelea kumuona mtake msitake
 
Mada ni nzuri na ndeefu, tatizo ni Moja tu;
IMEJAA UNAFIKI NA HILA ILIYOJIFICHA UVUNGUNI KABISA MWA MOYO...........ndo maana hakuna mafanikio kwenye Kila lenu la ,imdhuru Samia, Mungu anamlinda.
 
Ninachosikitika sana ni kwamba, watanzania wataenda kupiga kura 29.10.

Ninasikitika sana, ila hawa ndio watanzania, sisi ndio watanzania.

Utashangaa sana kuona mistari mirefu watu wamejipanga kusubiri kutiki, wengi wao maisha yakiwa yamewachapa hata hatma yao ya kesho hawaijui, ila wanaruhusu genge la watu wachache kupora na kuiba rasilimali za taifa na kuzidi kujitajirisha.

Hawa ndio watanzania ninaotegema kuwaona 29.10.

Ikitokea tofauti na hivyo, kwamba either wamegoma kupiga kura au wameamua kuingia barabarani, basi nitaamini kuwa hata kusipokuwa na mabadiliko, ila mentality zitakiwa zimebadilika, na we will be nearing a new dawn!,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…