Habari wana harakati wa JF,
Huu ni mwezi wa kumi|Oktoba ya mwaka 2017, naamini bado maisha yanasonga mbele yapo sio mazuri sana lakini tushukuru Mungu kwa yote.
Katika huu mwezi ni wazi kwamba wenye wapenzi wao, wake zao, waume zao, wachumba zao, wamepanga kufanya jambo kwa wenzi wao inaweza ikawa jambo baya au zuri.
Si vibaya tukashare kwa kila mmoja ambaye angependa kumfanyia mwenzi wake ampendaye.
Kwa mimi napenda kumnunulia gari mpenzi wangu mwezi huu Oktoba.