Jamaa liongo hili eti USO Kwa USO na bunduki🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa matukio ya October 29 mimi ambaye sikuyashuhudia kwa macho yamegoma kutoka kabisa akilini .
Je wewe ambaye umekutana uso kwa uso na majambazi ya policcm umejaribu kupata msaada wa kisaikolojia ili isije kukuletea shida siku za usoni?