Ocean Road Hospital vs Kuhamia Dodoma

Ocean Road Hospital vs Kuhamia Dodoma

Ngano

Member
Joined
Jul 1, 2012
Posts
64
Reaction score
18
Muhimu:
Ni Muhimu Kuhamia Dodoma.

Lakini
Si-lazima kwaharaka namna hiyo.

Muhimu
Kuwasaidia wagonjwa wa pale Ocean Road Hospital kwa Vifaa na Madawa na pia Wataalamu wa kutosha

Ni Lazima
kufanya hivyo kwa sasa kuwasiadia Ndugu zetu.


(Unaweza kuongeza orodha ya mambo ambayo sio tu ni muhimu kwa sasa bali pia ni Lazima pia kwa sasa zaidi ya kuharakisha kwenda Dodoma kwa sasa - ingawa ni mihimu pia.)
 
Back
Top Bottom