ocd wa wilaya ya rungwe bwana iblahim ameapa kufa na viongozi wa vyama vya upinzani habari za kuaminika zinasema mpaka sasa tayari ameshawafungulia kesi viongozi wanne wa vyama pinzani wilayani humo kamfungulia mwkt wa chadema aitwaye gwamaka mfaume katibu wa chadema kiwira aitwae michael simon mwenyekiti wa nccr mageuzi kata ya kiwira bwana simon mwakuna na mwkt wilaya cuf bwana asante sanga. na anajitapa kuwafunga kwakuwa ameishika mahakama ya wilaya hiyo
Funga tu hao kama wanakiuka sheria. Kafungwa Mramba itakuwa hao?

Atapiga kambi kiboko ya Ccm mkoa wa Mbeya ni huyu hapa Mzee wa Upako Ocd aulize kiwira walifanywa nini ccmView attachment 126904