Una maana gani hapo pekundu? wageni watudi kwao ama?Mpango maalum unakuja wa KuOccupy Mnazi Mmmoja Dar, Dodoma Bungeni unakuja TZ.
Dhumuni:
Vijana tunataka Rushwa iondolewe Serikalini
Ardhi Isiuzwe kwa Wageni Wowote
Tofauti kati ya Maskini na Tajiri Ipunguzwe
Na mengi yote
Note: Hatuna Uhusiano na Chama Chochote cha Kisiasa
Una maana gani hapo pekundu? wageni watudi kwao ama?
siku hizi hata mniambie kuna maandamano ya mei mosi siawaamini watanzania.... hadi nione wako mitaaniMpango maalum unakuja wa KuOccupy Mnazi Mmmoja Dar, Dodoma Bungeni unakuja TZ.
Dhumuni:
Vijana tunataka Rushwa iondolewe Serikalini
Ardhi Isiuzwe kwa Wageni Wowote
Tofauti kati ya Maskini na Tajiri Ipunguzwe
Na mengi yote
Note: Hatuna Uhusiano na Chama Chochote cha Kisiasa
..Unaonekana ulikuwa na Haraka sana ya kupost huu uzi..kwenye RED sijakusoma kabisa..Mpango maalum unakuja wa KuOccupy Mnazi Mmmoja Dar, Dodoma Bungeni unakuja TZ.
Dhumuni:
Vijana tunataka Rushwa iondolewe Serikalini
Ardhi Isiuzwe kwa Wageni Wowote
Tofauti kati ya Maskini na Tajiri Ipunguzwe
Na mengi yote
Note: Hatuna Uhusiano na Chama Chochote cha Kisiasa
hauna undugu na mwingereza wa DC?
mbona husemi siku na muda?Au itakua saa 9 usiku?